COASTAL UNION WAANZA KUIPIGIA HESABU AZAM FC
![](http://1.bp.blogspot.com/-Hr5zfo6IeM4/VQbu8C2l2FI/AAAAAAAHKvY/EUu7FPiuGn4/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
Na Ripota Maalum,Tanga
TIMU ya Coastal Union imewasilia jijini Tanga ikiwa na mikakati mizito ya kuhakikisha inawanyamazisha wapinzani wao Azam FC ikiwa ni muendelezo wa Michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara mchezo unaotarajiwa kucheza kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani wikiendi ijayo.Akizungumza leo na waandishi wa habari, Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema kuwa sasa nguvu zao watazielekeza kwenye mchezo huo utakaochezwa kwenye mjini hapa.Amesema kuwa dhamira yake aliyoipanga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EJZqa8q3ZXs/VR0htNSsd4I/AAAAAAAHO58/pRt-ucqvRRM/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
COASTAL YAIPIGIA HESABU PRISON, YAWEKA MIPANGO YA KUHAKIKISHA POINTI TATU ZINABAKI MKWAKWANI
Timu ya Coastal Union imeanza kuzipigia hesabu pointi tatu muhimu za wapinzani wao Tanzania Prison ili kuweza kuhakikisha wanazichukua wakati watakapokutana kwenye mechi ya Ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo ikielekea lala salama.
Akizungumza leo mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo yanayo endelea kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mjini...
9 years ago
Habarileo02 Sep
Coastal Union yazama 1-0
TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.
10 years ago
TheCitizen05 Feb
Cannavaro aizamisha Coastal Union
9 years ago
Habarileo16 Aug
Kaseja atua Coastal Union
GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Coastal Union yamfungia Banda
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Coastal Union ipo imara
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Coastal Union yajivunia Chipo
UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...