Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu

KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Logarusic: Tunatengeneza makali ya ligi kuu

Kocha wa Simba Zradvko Logarusic. Na Martha Mboma
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema kwa sasa anaangalia zaidi viwango vya wachezaji wake vikoje katika michuano ya Kombe la Mapinduzi na hana presha na michuano hiyo kwani anaamini timu yake itafanya vyema kwa hatua iliyofikia. Simba ambayo imefanikiwa kufika hatua ya robo fainali katika michuano hiyo ya Mapinduzi baada ya kuifunga bao 1-0 timu ya KMKM, imeonekana...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam kusaka ufalme wa Ligi

1*Simba yatafuta pa kutokea kwa Stand baada ya kipigo

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

VIGOGO wa soka nchini, Yanga na Azam FC, leo watashuka dimbani katika viwanja tofauti kuendeleza dozi ya vipigo katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku majeruhi, Simba wakisaka pointi muhimu zitakazorejesha heshima baada ya kipigo kutoka kwa watani wao wa jadi.

Vinara wa ligi hiyo, Yanga, wanafukuzana na Azam kwenye msimamo wa ligi, wakiwa na pointi 12, baada ya kucheza mechi nne, lakini...

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Kagera Sugar, ni wakati wa kusaka pepo au moto

Miezi 15 iliyopita, klabu ya Kagera Sugar yenye makazi yake katika mkoa anaotoka Rais wa TFF, Jamal Malinzi ilishika nafasi ya tano ikiwa na pointi 38. Pia,  miezi miwili iliyopita imemaliza nafasi ya sita ikiwa ikiwa na pointi 32.

 

10 years ago

Vijimambo

LIGI KUU YA VODACOM KUANZA SEPTEMBA 12

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) itaanza Sept 12 badala ya Agosti 22 ili kumpa Charles Mkwasa fursa ya kuendelea na program yake kuelekea mechi ya Taifa Stars vs Nigeria itakayochezwa Sept 5. 

Mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayozikutanisha Azam FC dhidi ya Yanga SC sasa itachezwa Agosti 22 badala ya Agosti 15. 
Ratiba ya Ligi Kuu iliyokuwa imeandaliwa, sasa inafanyiwa marekebisho kwa ajili ya tarehe mpya ya kuanza, ambapo pamoja na mambo mengine mechi sasa zitachezwa wikiendi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania kuanza Septemba

Ligi kuu ya Tanzania itaanza kutimua vumbi hapo Septemba 12, katika viwanja tofauti na kufikia tamati Mei saba mwaka 2016.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu England kuanza kutimua vumbi

Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea wanatarajia kuivaa Arsenal katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi hivi karibuni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania Bara kuanza leo

Ligi kuu ya Tanzania bara, Vodacom inaanza mzunguko wa pili leo baada ya kusimama tangu Novemba saba.

 

11 years ago

GPL

Azam bingwa Ligi Kuu Bara

Mshambuliaji wa Azam Fc, Gaudence Mwaikimba akishangilia bao huku akifuatwa na mwenzake, Kipre Tchetche(kulia), nyuma yao ni mwenzao, Himid Mao katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Azam bingwa ligi kuu Na Martha Mboma, Mbeya
ILIKUWA kama vita lakini hatimaye mechi imefanyika, matokeo yamepatikana na rekodi imewekwa kwenye… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani