Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Azam kusaka ufalme wa Ligi

1*Simba yatafuta pa kutokea kwa Stand baada ya kipigo

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

VIGOGO wa soka nchini, Yanga na Azam FC, leo watashuka dimbani katika viwanja tofauti kuendeleza dozi ya vipigo katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku majeruhi, Simba wakisaka pointi muhimu zitakazorejesha heshima baada ya kipigo kutoka kwa watani wao wa jadi.

Vinara wa ligi hiyo, Yanga, wanafukuzana na Azam kwenye msimamo wa ligi, wakiwa na pointi 12, baada ya kucheza mechi nne, lakini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu

KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kusaka heshima

Baada ya kunyukwa wiki iliyopita Yanga na Azam leo watajiuliza upya mbele ya timu za Tanga, Mgambo Shooting na Coastal Union wakiwa katika viwango vya juu zaidi msimu huu.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike

>Waswahili husema, hakuna kulala hadi kieleweke. Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ambazo dhahiri zimekuwa za Yanga na Azam.

 

9 years ago

Raia Tanzania

Simba, Azam zatofautiana na Yanga ratiba ligi Kuu

SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Uongozi wa Mabingwa wa ligi hiyo, Yanga umeibuka na kuipinga kwa madai kuwa haikuwatendea haki.

Ligi hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 12 kwa michezo saba ya ufunguzi kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tibohora, alisema kuwa wao hawajaridhika na upangaji wa ratiba hiyo, na inaonyesha wazi nia yao ni kutaka wafanye vibaya msimu...

 

9 years ago

Mwananchi

UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi

Ligi Kuu Bara inaendelea leo kwa viwanja saba kuwaka moto,  huku bingwa mtetezi, Yanga ikishuka uwanjani kuikabili Prisons, wakati Azam  ikiwa ugenini Kambarage,  Shinyanga kuumana na Stand United  huku Simba  ikitaka kuendeleza ubabe Tanga na kulipa kisasi kwa Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Yanga yang’ara, Azam yashikwa

>Baada ya miaka sita Yanga imepata ushindi  wa kwanza kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya  kwa kuichakaza Prisons mabao 3-0 wakati  Azam ikilazimishwa sare ya 0-0 na Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo

>Miamba ya soka nchini, Yanga na Simba baada ya kushindwa kutambiana wiki iliyopita leo itasaka ushindi wa ugenini dhidi ya Stand United na Prisons huku mabingwa watetezi Azam wakiwa nyumbani kuwavaa JKT Ruvu.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga wasusa Sh300 mil za udhamini wa Azam wa Ligi Kuu Bara

Uongozi wa Yanga umetakiwa kuandika barua iwapo hawazihitaji fedha za udhamini wa Azam ambazo hadi sasa zimefika Sh300 milioni ili zielekezwe kwenye masuala mengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani