Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya City yatamba kuendeleza makali

KLABU ya Mbeya City ya jijini Mbeya, imetamba kuwa iko katika maandalizi mazuri kwa changamoto zinazoikabili, ili iyavuke mafanikio iliyopata katika msimu wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Old is Gold warejea Safari Carnival, Spice Modern Taarab kuendeleza makali

Na Andrew Chale USIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima  usiku wa Desemba 28, Mwaka huu ndani ya   ukumbi wa Safari Carnival uliopo Mikocheni B, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo,  mashabiki  wa Old Is Gold watapata burudani ya aina yake katika kiota hicho cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.

“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo kabambe kutoka kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usiku wa Old Is Gold wahamia Thai Village — Spice Modern Taarab kuendeleza makali leo

unnamed (36)

unnamed (35)

Na Andrew Chale

USIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima kwa kishindo Jumapili ya leo Desemba 7, ndani ya   ukumbi wa Thai Village  uliopo Masaki, jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin (pichani juu), mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo, mashabiki  wa Old Is Gold  watakuwa wakikutana katika kiota hicho kipya cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.

“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Barcelona yatamba, Man City yabanduliwa

Barcelona imeilaza Manchester City kwa magoli mawili kwa moja na kufuzu kwa robo fainali ya kombe la Ulaya

 

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Old Is Gold wahamia Thai Village - Spice Modern Taarab kuendeleza makali Jumapili hii


NA ANDREW CHALEUSIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima kwa kishindo Jumapili ya kesho Desemba 7, ndani ya   ukumbi wa Thai Village  uliopo Masaki, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo, mashabiki  wa Old Is Gold  watakuwa wakikutana katika kiota hicho kipya cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo kabambe kutoka kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yaendeleza makali Mbeya

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga wameiadhibu Mbeya City kwa mabao 3-2.

 

11 years ago

GPL

AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…

 

9 years ago

Michuzi

MBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA

Kocha wa Timu ya Mbeya City fc a.k.a Wakoma Kumwanya ndugu, Juma Mwambusi akizungumza jambo na baadhi ya Vyombo vya Habari mara baada ya Mtanange huo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kumalizika katika Uwanja wa kumbukumbu Sokoine Jijini Mbeya, Ambapo Mbeya City FC  waliibuka kidedea kwa kuichalaza Jkt Ruvu goli 3-0, ambapo Dakika ya 23 mchezaji Joseph Mahundi kuipatia Mbeya City Goli la Kwanza na Goli la Pili toka kwa Temy Felix Dakika ya 57 kwa mkwaju wa Penati, huku Goli la Tatu...

 

11 years ago

Michuzi

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya


JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani