Usiku wa Old Is Gold wahamia Thai Village — Spice Modern Taarab kuendeleza makali leo
Na Andrew Chale
USIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima kwa kishindo Jumapili ya leo Desemba 7, ndani ya ukumbi wa Thai Village uliopo Masaki, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin (pichani juu), mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo, mashabiki wa Old Is Gold watakuwa wakikutana katika kiota hicho kipya cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.
“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
Usiku wa Old Is Gold wahamia Thai Village - Spice Modern Taarab kuendeleza makali Jumapili hii
.jpg)
NA ANDREW CHALEUSIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima kwa kishindo Jumapili ya kesho Desemba 7, ndani ya ukumbi wa Thai Village uliopo Masaki, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo, mashabiki wa Old Is Gold watakuwa wakikutana katika kiota hicho kipya cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo kabambe kutoka kwa...
10 years ago
Michuzi
Usiku wa Old is Gold warejea Safari Carnival, Spice Modern Taarab kuendeleza makali

11 years ago
Michuzi.jpg)
OLD IS GOLD NA SPICE MODERN TAARAB KUFUNIKA NDANI YA SAFARI CARNIVAL LEO
.jpg)
Kwa kiingilio cha sh 5000 tu, kuanzia saa mbili usiku mpaka majogoo.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, ambao ni miongoni mwa wadhamini wa onyesho hilo, amewasihi wadau kujitokeza kwa wingi kuuenzi usiku huo kwa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
‘Old is Gold,’ Spice Taarab kuifunika Regency leo
WAPENZI wa nyimbo za zamani za taarabu asilia nchini, leo wanatarajiwa kupata burudani safi na ya aina yake kutoka kundi la Spice Modern Taarab, ndani ya ukumbi wa Regency Hotel,...
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
It’s Friday and its on ‪#‎TGIF‬, Skylight Band kukinukisha Thai Village usiku wa leo
Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa Live
Come and experience good music from our young talented singers #AnethKushaba #John music & #Ashura #Sony Masamba #Sam Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live…ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni...
10 years ago
Vijimambo13 Mar
IT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU WA LEO
11 years ago
GPLSUPER MODERN BAND YAPAGAWISHA NDANI YA SPICE PUB MJINI DODOMA USIKU HUU
10 years ago
Michuzi.jpg)
JAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22 …ni Usiku wa Baba na Mwana
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Usiku wa Old is Gold Taarab kila Jumapili ndani ya Safari Carnival
Na Andrew Chale
USIKU wa Old is Gold taarab unatarajiwa kurindima ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, kwa wadau kupata burudani ya muziki wa mwambao wa kizamani.
Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin alieleza kuwa ni kila Jumapili ndani ya ukumbi huo utakuwa na burudani ya kipekee kwa nyimbo za mwambao pamoja na ‘surprise’ mbalimbali kwa watakaofika hapo.
“Kila jumapili kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa...