Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA SC YAPIGWA NA KAGERA SUGAR KAITABA LEO

BAO pekee la kiungo Paul Ngway, dakika ya 52 jioni ya leo limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Kaitaba, Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Yanga SC ilimaliza mchezo huo pungufu, baada ya Nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 80 na refa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, baada ya kumpiga kichwa Rashid Mandawa wa Kagera. Baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RHINO RANGERS WATUA SALAMA BUKOBA, KESHO JUMAMOSI UWANJANI KAITABA KUWAKABILI KAGERA SUGAR

Na Faustine Ruta, Bukoba Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 19 kesho (Februari 22 mwaka huu) kwa mechi tano zitakazochezwa katika miji ya Dar es Salaam, Bukoba, Morogoro, Tanga na Arusha. Kocha wa Rhino Rangers Wachezaji wa Timu ya Rhino Rangers kutoka Tabora wakifanya mazoezi yao ya mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba jioni hii, Kesho Kuwakabili Wenyeji Kagera Sugar. Rhino Rangers ambao wanashika nafasi ya mkiani mwa ligi hiyo pendwa ya Vodacom...

 

10 years ago

Michuzi

STAND UNITED WATUA BUKOBA! WAFANYA MAZOEZI KAITABA TAYARI KWA KUUMANA NA KAGERA SUGAR KESHO JUMAMOSI

Wachezaji wa Stand United wakifanya mazoezi yao ya Mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini tayari kwa kuumana na Wenyeji wao Kagera Sugar kesho Jumamosi tarehe 18, 2014
Na Faustine Ruta, BukobaJumla ya wachezaji 26 wa Timu ya Stand United ya Shinyanga wametua mjini Bukoba leo  kwa ajili ya kipute cha Ligi kuu ya  Vodacom msimu wa 2014-15 na  wenyeji wao Kagera Sugar wamefanya mazoezi yao kwa mara ya kwanza Kagera kwenye Uwanja wa Kaitaba.Wachezaji hao, wakiongozwa na Kocha Mkuu Emmanuel...

 

11 years ago

GPL

YANGA YAIKANDAMIZA KAGERA SUGAR 2-1

Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kulia) akikwaana na beki wa Kagera Sugar. Baadhi ya wachezaji wa Yanga kutoka kushoto ni: Simon Msuva, Didier Kavumbagu, Mrisho Ngassa na Oscar Joshua wakishangila ushindi wa leo dhidi ya Kagera Sugar.…

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAKUNG'UTWA NA KAGERA SUGAR BAO MOJA KWA NUNGE

Timu ya Yanga leo imefungwa 1-0 na Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba katika Ligi Kuu ya Vodacom, mjini Bukoba, Kagera.


Na Faustine Ruta, BukobaKlabu ya Dar es salaam Young Afrika imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Kagera Sugar kwenye mchezo uliopigwa ndani ya Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.Kipindi cha kwanza Timu zote mbili zilimaliza bila ya kufungana, Kipindi cha pili Kagera Sugar walitumia faida ya kucheza nyumbani na kufanikiwa kupata bao lililofungwa kiufundi na paul...

 

10 years ago

Michuzi

KAGERA WAANZA VYEMA COPA COCA COLA 2014, WAICHAPA GEITA BAO 2-0 KATIKA UWANJA WA KAITABA LEO

Wachezaji wa Kagera Walio chini ya Miaka 15 wakishangilia baada ya mpira kumalizika kwenye Uwanja wa Kaitaba dhidi ya Geita kwenye Mashindano ya Copa Coca Cola, Mchezo uliochezwa leo Jumapili 12.10.2014. Kagera wameifunga Geita Bao 2-0.Na Faustine Ruta, BukobaKagera wameanza vyema Mashindano ya soka kwa vijana walio chini ya miaka 15, Copa Coca Cola, Leo Jumapili 12.10.2014 Asubuhi baada ya kuichapa Timu ya Geita bao 2-0 kwenye Uwanja wa Nyumbani Kaitaba.Bao za Kagera zimefungwa kipindi cha...

 

11 years ago

Michuzi

kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba

Kikosi cha Kagera Sugar
Na Faustine Ruta,  Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na  wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba.  Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar.  Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani