KAGERA WAANZA VYEMA COPA COCA COLA 2014, WAICHAPA GEITA BAO 2-0 KATIKA UWANJA WA KAITABA LEO
Wachezaji wa Kagera Walio chini ya Miaka 15 wakishangilia baada ya mpira kumalizika kwenye Uwanja wa Kaitaba dhidi ya Geita kwenye Mashindano ya Copa Coca Cola, Mchezo uliochezwa leo Jumapili 12.10.2014. Kagera wameifunga Geita Bao 2-0.Na Faustine Ruta, BukobaKagera wameanza vyema Mashindano ya soka kwa vijana walio chini ya miaka 15, Copa Coca Cola, Leo Jumapili 12.10.2014 Asubuhi baada ya kuichapa Timu ya Geita bao 2-0 kwenye Uwanja wa Nyumbani Kaitaba.Bao za Kagera zimefungwa kipindi cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi05 Nov
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VhITXNvFl30/VJf_wS1jx5I/AAAAAAAG5B0/iYACqEFGL6M/s72-c/CP1.jpg)
Waziri Fenella afunga fainali Copa Coca Cola 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-VhITXNvFl30/VJf_wS1jx5I/AAAAAAAG5B0/iYACqEFGL6M/s1600/CP1.jpg)
10 years ago
GPLMASHINDANO YA COPA COCA COLA KITAIFA YAZINDULIWA LEO
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Kambi ya Copa Coca Cola safi
9 years ago
Michuzi16 Sep
COPA COCA COLA KUFANYIKA MWAKANI
![](http://tff.or.tz/images/U13-Kubwa.png)
Michuano hiyo ambayo hushirikisha timu za mikoa yote Tanzania kuanzia katka ngazi ya Wilaya, hufanyika kila mwaka kwa kuwashirkisha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15).
Taarifa ya Idara ya Masoko ya Coca Cola imesema kampuni hiyo ...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Nyota Copa Coca-Cola warejea
NYOTA wawili waliochaguliwa kwenda kwenye kambi ya kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyofanyika nchini Brazil wiki iliyopita, wamerejea nchini juzi usiku. Wachezaji hao, Ali Mabuyu kutoka Ilala na Juma Yusuf wa...
10 years ago
TheCitizen19 Dec
Kigoma and Dom in Copa Coca-Cola semis
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Nyota wa Copa Coca-Cola waagwa Dar
WACHEZAJI wawili waliochaguliwa kwenda kwenye kambi ya Copa Coca-Cola ya dunia nchini Brazil, wamekabidhiwa bendera ya taifa jijini Dar es Salaam jana tayari kwa safari hiyo. Ali Mabuyu na Juma...
10 years ago
GPL14 Dec