Waziri Fenella afunga fainali Copa Coca Cola 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-VhITXNvFl30/VJf_wS1jx5I/AAAAAAAG5B0/iYACqEFGL6M/s72-c/CP1.jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara(MB) akikagua timu za Vijana waliochini ya miaka 15 kutoka Kinondoni na Dodoma ambazo zilishiriki hatua ya fainali katika mashindano ya Copa Coca Cola mwishoni mwa wikiendi katika uwanja wa Krume jijini Dar es Salaam. Ambapa katika fainali hizo kwa upande wanaume toimu kutoka Dodoma iliibuka bingwa wa mashindano hayo kwa kuichapa Kinondoni jumla ya magoli 4 -0, wakati kwa upande wa wanawake Kinondoni ilinyakua...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi05 Nov
10 years ago
Michuzi13 Oct
KAGERA WAANZA VYEMA COPA COCA COLA 2014, WAICHAPA GEITA BAO 2-0 KATIKA UWANJA WA KAITABA LEO
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Nyota Copa Coca-Cola warejea
NYOTA wawili waliochaguliwa kwenda kwenye kambi ya kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyofanyika nchini Brazil wiki iliyopita, wamerejea nchini juzi usiku. Wachezaji hao, Ali Mabuyu kutoka Ilala na Juma Yusuf wa...
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Kambi ya Copa Coca Cola safi
9 years ago
Michuzi16 Sep
COPA COCA COLA KUFANYIKA MWAKANI
![](http://tff.or.tz/images/U13-Kubwa.png)
Michuano hiyo ambayo hushirikisha timu za mikoa yote Tanzania kuanzia katka ngazi ya Wilaya, hufanyika kila mwaka kwa kuwashirkisha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15).
Taarifa ya Idara ya Masoko ya Coca Cola imesema kampuni hiyo ...
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Wawili Copa Coca-Cola kujifua Brazil
WACHEZAJI wawili bora wa michuano ya Copa Coca-Cola, Juma Yusuph na Ally Mabuyu, wamepata nafasi ya kwenda nchini Brazil kushiriki kambi ya Copa Coca-Cola itakayofanyika Sao Paulo kuanzia Juni 10...
10 years ago
TheCitizen14 Dec
Kigoma shine in Copa Coca-Cola opener
10 years ago
GPL14 Dec
10 years ago
TheCitizen19 Dec
Kigoma and Dom in Copa Coca-Cola semis