Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RHINO RANGERS WATUA SALAMA BUKOBA, KESHO JUMAMOSI UWANJANI KAITABA KUWAKABILI KAGERA SUGAR

Na Faustine Ruta, Bukoba Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 19 kesho (Februari 22 mwaka huu) kwa mechi tano zitakazochezwa katika miji ya Dar es Salaam, Bukoba, Morogoro, Tanga na Arusha. Kocha wa Rhino Rangers Wachezaji wa Timu ya Rhino Rangers kutoka Tabora wakifanya mazoezi yao ya mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba jioni hii, Kesho Kuwakabili Wenyeji Kagera Sugar. Rhino Rangers ambao wanashika nafasi ya mkiani mwa ligi hiyo pendwa ya Vodacom...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

STAND UNITED WATUA BUKOBA! WAFANYA MAZOEZI KAITABA TAYARI KWA KUUMANA NA KAGERA SUGAR KESHO JUMAMOSI

Wachezaji wa Stand United wakifanya mazoezi yao ya Mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini tayari kwa kuumana na Wenyeji wao Kagera Sugar kesho Jumamosi tarehe 18, 2014
Na Faustine Ruta, BukobaJumla ya wachezaji 26 wa Timu ya Stand United ya Shinyanga wametua mjini Bukoba leo  kwa ajili ya kipute cha Ligi kuu ya  Vodacom msimu wa 2014-15 na  wenyeji wao Kagera Sugar wamefanya mazoezi yao kwa mara ya kwanza Kagera kwenye Uwanja wa Kaitaba.Wachezaji hao, wakiongozwa na Kocha Mkuu Emmanuel...

 

11 years ago

Michuzi

KAGERA SUGAR YASHINDA RHINO RANGERS 1- 0, SELEMAN KIBUTA AITUNGUA RHINO AKITOKEA BENCHI

Timu zikisalimiana Na Faustine Ruta, Bukoba Timu ya Kagera Sugar wakiikaribisha timu ya Rhino Ranger leo kutoka Tabora kwenye Ligi  kuu ya Vodacom (VPL) wameifunga bao 1-0. katika mchezo huo ulio pigwa hii leo jumamosi katika kipindi cha kwanza timu zote mbili zilienda mapumziko zikiwa 0-0. Kipindi cha pili Kagera Sugar walifanya mabadiliko kwa kumuingiza mchezaji wao Seleman Kibuta na katika dakika ya 52 kipindi hicho hicho cha pili mchezaji huyo aliwapachikia bao la pekee. Bao hilo...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

10 years ago

GPL

YANGA SC YAPIGWA NA KAGERA SUGAR KAITABA LEO

BAO pekee la kiungo Paul Ngway, dakika ya 52 jioni ya leo limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Kaitaba, Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Yanga SC ilimaliza mchezo huo pungufu, baada ya Nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 80 na refa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, baada ya kumpiga kichwa Rashid Mandawa wa Kagera. Baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 LEO UWANJA WA KAITABA

Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.comWasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa.

 

11 years ago

Michuzi

kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba

Kikosi cha Kagera Sugar
Na Faustine Ruta,  Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na  wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba.  Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar.  Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AWASILI MJINI BUKOBA MKOA WA KAGERA JIONI HII KUWASHA MWENGE WA UHURU KESHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada...

 

11 years ago

GPL

SIMBA 1, RHINO RANGERS 0

Mtanange kati ya Simba na Rhino Rangers ukiendelea uwanja wa Taifa jijini Dar. Taswira za uwanja wa Taifa kabla ya mechi kuanza. (Picha na Nicolaus Track/ GPL) TIMU ya Simba SC imeibuka na pointi tatu katika mtanange wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuilaza Rhino Rangers bao 1-0. Mechi hiyo imepigwa katika…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani