Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAIKANDAMIZA KAGERA SUGAR 2-1

Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kulia) akikwaana na beki wa Kagera Sugar. Baadhi ya wachezaji wa Yanga kutoka kushoto ni: Simon Msuva, Didier Kavumbagu, Mrisho Ngassa na Oscar Joshua wakishangila ushindi wa leo dhidi ya Kagera Sugar.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA SC YAPIGWA NA KAGERA SUGAR KAITABA LEO

BAO pekee la kiungo Paul Ngway, dakika ya 52 jioni ya leo limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Kaitaba, Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Yanga SC ilimaliza mchezo huo pungufu, baada ya Nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 80 na refa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, baada ya kumpiga kichwa Rashid Mandawa wa Kagera. Baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAKUNG'UTWA NA KAGERA SUGAR BAO MOJA KWA NUNGE

Timu ya Yanga leo imefungwa 1-0 na Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba katika Ligi Kuu ya Vodacom, mjini Bukoba, Kagera.


Na Faustine Ruta, BukobaKlabu ya Dar es salaam Young Afrika imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Kagera Sugar kwenye mchezo uliopigwa ndani ya Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.Kipindi cha kwanza Timu zote mbili zilimaliza bila ya kufungana, Kipindi cha pili Kagera Sugar walitumia faida ya kucheza nyumbani na kufanikiwa kupata bao lililofungwa kiufundi na paul...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri awagwaya Kagera Sugar

Kocha wa Simba, Patrick Phiri ameingiwa na mchecheto na mechi yao dhidi ya Kagera Sugar itakayochezwa leo na kudai mchezo huo utakuwa mgumu, lakini anaamini atapata pointi tatu.

 

9 years ago

GPL

SIMBA WAICHAPA KAGERA SUGAR 3-1

TIMU ya Simba SC leo imeibuka kifua mbele baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao yote ya Wekundu wa Msimbazi yamewekwa kimiani na mshambuliaji raia wa Uganda, Hamis Kiiza aliyepiga 'hat trick' na kuondoka na mpira wake baada ya mechi. Bao pekee la Kagera Sugar limefungwa na Mbarak Yusuf. Kwa matokeo ya leo, Simba...

 

10 years ago

Mwananchi

Kagera Sugar kuteseka Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 itaanza keshokutwa huku ratiba ya ligi hiyo ikizipa nafasi za kusafiri umbali mfupi zaidi timu za Ruvu Shooting, Azam na Yanga wakati Kagera Sugar, Mbeya City, Polisi Morogoro na Stand United ndizo zitakazosafiri umbali mrefu zaidi.

 

9 years ago

Michuzi

AZAM FC YAILAMBA KAGERA SUGAR 2-0

 Shaban Ibrahim akimshika bukta Didier Kavumbagu. Uniwezi..... Kavumbagu akimtoka Shaban Ibrahim. Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kulia) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.Golikipa wa Kagera Sugar, Agathony Anthony akiokoa moja ya hatari langoni mwake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

KAGERA SUGAR YAIBUKA MSHINDI WA 1-0

Kikosi kazi cha Timu ya Mbeya City fc kikiongwozwa na Gorikipa mahiri Juma Kaseja katika picha waki mwomba Mwenyezi munu kabla ya kuanza Mtanange, ambapo Kagera Sugar iliibuka mshindi kwa kuitundika Mbeya City fc Gori Moja kwa bila (1,0) Dakika ya 41, Mchezaji Poul Ngaiyoma Jezi Nambari 8, Mgongoni kuipatia ushindi Timu ya Kagera Sugar katika Mechi ya Kwanza Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Mtanange ulio chezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.Juma Kaseja Jezi Nambari Moja Mgongoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani