AZAM FC YAILAMBA KAGERA SUGAR 2-0
![](http://3.bp.blogspot.com/-1kNJ0Z5l7Fk/VoAQZEcvJtI/AAAAAAABmMg/YJQaFCo-ypg/s72-c/_MG_5505.jpg)
Shaban Ibrahim akimshika bukta Didier Kavumbagu.
Uniwezi.....
Kavumbagu akimtoka Shaban Ibrahim.
Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kulia) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.
Golikipa wa Kagera Sugar, Agathony Anthony akiokoa moja ya hatari langoni mwake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Kagera Sugar kuteseka Bara
Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 itaanza keshokutwa huku ratiba ya ligi hiyo ikizipa nafasi za kusafiri umbali mfupi zaidi timu za Ruvu Shooting, Azam na Yanga wakati Kagera Sugar, Mbeya City, Polisi Morogoro na Stand United ndizo zitakazosafiri umbali mrefu zaidi.
11 years ago
GPLYANGA YAIKANDAMIZA KAGERA SUGAR 2-1
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kulia) akikwaana na beki wa Kagera Sugar. Baadhi ya wachezaji wa Yanga kutoka kushoto ni: Simon Msuva, Didier Kavumbagu, Mrisho Ngassa na Oscar Joshua wakishangila ushindi wa leo dhidi ya Kagera Sugar.…
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Phiri awagwaya Kagera Sugar
Kocha wa Simba, Patrick Phiri ameingiwa na mchecheto na mechi yao dhidi ya Kagera Sugar itakayochezwa leo na kudai mchezo huo utakuwa mgumu, lakini anaamini atapata pointi tatu.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/kiiza.jpg?width=650)
SIMBA WAICHAPA KAGERA SUGAR 3-1
TIMU ya Simba SC leo imeibuka kifua mbele baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao yote ya Wekundu wa Msimbazi yamewekwa kimiani na mshambuliaji raia wa Uganda, Hamis Kiiza aliyepiga 'hat trick' na kuondoka na mpira wake baada ya mechi. Bao pekee la Kagera Sugar limefungwa na Mbarak Yusuf. Kwa matokeo ya leo, Simba...
9 years ago
MichuziKAGERA SUGAR YAIBUKA MSHINDI WA 1-0
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Simba yajinasibu kuifunga Kagera sugar
Kocha wa mabingwa wa zamani wa Tanzania Bara, Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiipigia mahesabu ya ushindi timu ya Kagera Sugar.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Nyota Kagera Sugar awapa ulaji wenzake
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Rashid Mandawa, amesema atawapa wachezaji wenzake nusu ya fedha aliyopewa baada ya kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu wa Novemba.
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Kagera Sugar yaiandalia Simba mazoezi rasmi
Kagera Sugar inaanza mazoezi yake kesho kujiandaa na Ligi Kuu, lakini imewaambia Simba kuwa itawasambaratisha katika mchezo baina yao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania