YANGA YAKUNG'UTWA NA KAGERA SUGAR BAO MOJA KWA NUNGE
Timu ya Yanga leo imefungwa 1-0 na Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba katika Ligi Kuu ya Vodacom, mjini Bukoba, Kagera.
Na Faustine Ruta, BukobaKlabu ya Dar es salaam Young Afrika imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Kagera Sugar kwenye mchezo uliopigwa ndani ya Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.Kipindi cha kwanza Timu zote mbili zilimaliza bila ya kufungana, Kipindi cha pili Kagera Sugar walitumia faida ya kucheza nyumbani na kufanikiwa kupata bao lililofungwa kiufundi na paul...
Michuzi