Kerr: Hakuna Staa Simba
Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametamba kuwa hakuna mchezaji staa ndani ya kikosi chake na hatosita kumweka benchi au kumtimua kabisa mchezaji yeyote ambaye hatofuata kile alichoelekezwa na benchi la ufundi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-1QKcpxDQeWTt4Z4sFF4K0C-H80zFZqIAEAkJHclALqTBcrmKTGfjiEeDtNdZCPuLgEtPj2CAg38t2IBF*mhmhP/Faiza.jpg)
FAIZA: HAKUNA STAA MWENYE FIGA KAMA YANGU
9 years ago
Bongo524 Sep
Hakuna mtoto wa staa mwenye mvuto zaidi ya Tanzanite — H.Baba
10 years ago
Bongo Movies05 May
Patcho Mwamba: Hakuna Staa wa Kike Ana Nyota Kama ya Wema Sepetu, Ila Dhambi Yake ni Moja...
Staa wa Bongo movies na mwanamziki wa Fm Academia Patcho Mwamba funguka kuwa staa mwennzake wa bongo movies, Wema Sepetu ana nyota kali zaidi ya mastaa wote wa kike wa hapa Bongo, Pacho ameyasema hayo akiwa anajibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"
''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna staa wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo...
9 years ago
Habarileo10 Oct
Kerr ajipa matumaini Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Kerr afichua siri ya Simba
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Kerr ataka uvumilivu Simba
NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.
Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kerr akerwa na washambuliaji Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.