FAIZA: HAKUNA STAA MWENYE FIGA KAMA YANGU
![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-1QKcpxDQeWTt4Z4sFF4K0C-H80zFZqIAEAkJHclALqTBcrmKTGfjiEeDtNdZCPuLgEtPj2CAg38t2IBF*mhmhP/Faiza.jpg)
Stori: Imelda Mtema/Amani MZAZI mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amesema kuwa hakuna staa yeyote hapa Bongo mwenye figa kama yake ya kuweza kuvaa ‘bikini’ na kujiachia kama yeye. Mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally. Akifunguka na Centre Spread, Faiza alisema kuwa wapo mastaa wengi wembamba lakini maumbo yao...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Sep
Hakuna mtoto wa staa mwenye mvuto zaidi ya Tanzanite — H.Baba
9 years ago
Bongo525 Aug
Kim Kardashian ampiku Beyonce kama staa mwenye followers wengi Instagram
10 years ago
Bongo Movies05 May
Patcho Mwamba: Hakuna Staa wa Kike Ana Nyota Kama ya Wema Sepetu, Ila Dhambi Yake ni Moja...
Staa wa Bongo movies na mwanamziki wa Fm Academia Patcho Mwamba funguka kuwa staa mwennzake wa bongo movies, Wema Sepetu ana nyota kali zaidi ya mastaa wote wa kike wa hapa Bongo, Pacho ameyasema hayo akiwa anajibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"
''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna staa wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo...
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Kerr: Hakuna Staa Simba
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Faiza: Najuta Kuvaa Nguo Iliyoonesha Makalio Yangu
Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta!
“Siwezi kurudia kosa, nitakuwa makini zaidi katika mavazi yangu,” Faiza aliliambia gazeti la Mwananchi ambalo alienda kwenye ofisi zake kuelezea anavyojutia uamuzi huo uliomgharimu.
“Wasanii wengi ni...
10 years ago
Bongo527 Jun
Najuta kuvaa nguo iliyoonesha makalio yangu — Faiza
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7MCf1RUFOft9txItklPcEs8MrXxvk4wFHlXMtvsIF57-1aYdgCVCQxLirPpmY0GTICrXkEqqv2kMssvPl--J97K/Johari.jpg)
JOHARI: SIHITAJI MUME STAA KAMA RAY
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Elly G:Nasimama Mwenye na Kampuni Yangu
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Bongo Movie, Elia Daniel ‘Elly G’ amesema kwa sasa ameamua kusimama mwenyewe katika filamu zake katika kuimarisha kampuni yake mpya ya filamu, akiongea na FC msanii huyo amesema kuwa tayari ana filamu moja mkononi ambayo anatarajia kuitoa mwezi huu.
“Tatizo la kazi zetu niusambazaji tu, unahangaika location lakini ukimalizima mtihani unaipeleka wapi? Lakini nashukru kwa sasa nipo na mkataba na Mpwapwa Entertainment na wanaanza na filamu yangu ya Sadaka...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Loga: Hakuna mwenye namba Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Logarusic Zdravko, amewataka nyota wake kujituma katika mazoezi kuwa fiti zaidi ili kupata namba katika kikosi cha kwanza akisema haoni mwenye uhakika wa namba. Loga aliyejipambanua...