Elly G:Nasimama Mwenye na Kampuni Yangu
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Bongo Movie, Elia Daniel ‘Elly G’ amesema kwa sasa ameamua kusimama mwenyewe katika filamu zake katika kuimarisha kampuni yake mpya ya filamu, akiongea na FC msanii huyo amesema kuwa tayari ana filamu moja mkononi ambayo anatarajia kuitoa mwezi huu.
“Tatizo la kazi zetu niusambazaji tu, unahangaika location lakini ukimalizima mtihani unaipeleka wapi? Lakini nashukru kwa sasa nipo na mkataba na Mpwapwa Entertainment na wanaanza na filamu yangu ya Sadaka...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
FAIZA: HAKUNA STAA MWENYE FIGA KAMA YANGU
10 years ago
Bongo508 Oct
Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)
10 years ago
Bongo Movies14 Jul
Elly G:Wivu Wa Kijinga Unatuumiza Wasanii
MSANII wa filamu wa kiume Elia Daniel ‘Elly G’ amefunguka kwa kusema kuwa baadhi ya wasanii wana wivu katika tasnia ya filamu kwa kiwango kikubwa hata kufikia kuwaroga wale ambao wanaonyesha juhudi zao katika fani hiyo, Elly G anadai kuwa kuna wakati ambao wawapo Lokeshini hutokewa mauzauza.
“Kuna baadhi ya wasanii hawataki kabisa kuona unafakiwa katika tasnia ya filamu Bongo, utaona msanii akiona tu kila wakati upo Lokesheni unashuti halafu kazi nzuri zinakubalika na jamii tatizo na...
5 years ago
Bongo514 Feb
Marehemu Mh. Elly Macha aagwa rasmi
Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa pamoja na wabunge mbalimbali wameshiriki kuuaga mwili wa aliyekua mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Dkt Elly Macha, aliyefariki nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mwili huo umewasili alfajiri leo, katika uwanja wa Mwalimu Nyerere ambapo mapokezi yaliongozwa na Naibu spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson na kusafirishwa tena mpaka Dodoma ambapo viongozi wa bunge wamepata fursa ya kuuaga Mheshimiwa Macha kwenye viwanja...
10 years ago
Michuzi20 Dec
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Mjue Dr. Slaa, msomi, mpole, mkarimu, mwenye busara na mwenye tabasamu la kudumu

Dr. Slaa si mtu mwenye maneno mengi, ni mtulivu na mkimya kiasi chake, mwenye tabasamu la kudumu, lakini akipanda jukwaani na kuanza kulishambulia huku na kule huwezi kuamini kinachotoka ubongoni mwake. Kimya kingi kina mshindo.
Wengi hawamfahamu Dr. Slaa vilivyo, wengi wanamwona sasa baada ya kuingia bungeni na sasa katika majukwaa ya siasa, ukweli ni mtu mbunifu, mpenda maendeleo na mwenye kujitoa kwa ajili ya wengine bila kujibakiza. Ufahamu wangu wa huyu Dr. Slaa ni wa...
10 years ago
Bongo524 Sep
New Video: Drew Elly & Kay Lee – Love and Hustle
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...
10 years ago
Michuzi
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI

Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...