Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marehemu Mh. Elly Macha aagwa rasmi

Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa pamoja na wabunge mbalimbali wameshiriki kuuaga mwili wa aliyekua mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Dkt Elly Macha, aliyefariki nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mwili huo umewasili alfajiri leo, katika uwanja wa Mwalimu Nyerere ambapo mapokezi yaliongozwa na Naibu spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson na kusafirishwa tena mpaka Dodoma ambapo viongozi wa bunge wamepata fursa ya kuuaga Mheshimiwa Macha kwenye viwanja...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ratiba ya mazishi ya marehemu mzee john fedha macha dar es salaam na moshi

Mazishi ya Mzee John Fedha Macha (pichani), Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa Bamboo Bar ya Kinondoni (jirani na makaburi ya Kinondoni)  jijini Dar es salaam, ambaye alifariki dunia Jumatatu Julai 21,  2014 katika hospitali ya TMJ Mikocheni alikokuwa akitibiwa, yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa Julai 25, 2014 kijijini kwake Kirua Vunjo, Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa ratiba iliyopatikana na Globu ya Jamii, Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zitafanyika nyumbani kwake...

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU GEORGE TYSON AAGWA LEO JIJINI DAR


Sehemu ya Wacheza Filamu nchini waliokuwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakijipanga tayari kwa akili ya kuongoza shughuli ya Kuga mwili iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo baada ya kukamiliza kwa mipango yote.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick...

 

10 years ago

Michuzi

MAREHEMU LUCIA KIBUSI AAGWA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI

Marehemu Mama Lucia Kibusi enzi za Uhai wake.Watoto wa marehemu Martin na Steven Kibusi kulia wakiwa kwenye chakula cha pamoja baada ya ibada ya kumbukumbu ya kumuaga mama yao kumalizika kushoto ni marafiki wa karibu na watoto wa marehemu wakiwafariji marafiki zao. Pia familia ya marehemu walitoa shukurani za dhati kwa wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika msiba huu wa mpendwa mama yao na kuwezesha kukusanya $19,000 ili kuwezesha kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania "...

 

11 years ago

Habarileo

IGP wa zamani aagwa rasmi

MKUU wa Jeshi la Polisi mstaafu (IGP), Said Mwema ameagwa rasmi jana jijini Dar es Salaam, huku akiwataka wananchi kumpa ushirikiano Mkuu mpya wa Polisi, Ernest Mangu katika kukabiliana na uhalifu mpya.

 

11 years ago

GPL

IGP MWEMA AAGWA RASMI LEO

Kutoka kulia IGP, Ernest Mangu, katikati ni IGP mstaafu Said Mwema na kulia ni Kaimu mkuu wa jeshi la Abrahaman Kaniki. Mkuu wa Jeshi la Polisi mstaafu Said Mwema akishuka kwenye gari maalum kama inavyoonekana pichani.…

 

9 years ago

Vijimambo

JK AAGWA RASMI NA TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Dkt. Reginald Mengi katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wadau alipowasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam...

 

10 years ago

Michuzi

Mstaafu CAG kutuzwa; Aagwa rasmi na Ikulu

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, Bw. Ludovick Utouh (kulia), na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Juma Assad (kushoto), katika hafla ya kumpongeza na kumuaga Bw. Utouh iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam,11 Desemba, 2014.Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, juzi tarehe 11 Desemba 2014, alimuaga rasmi...

 

11 years ago

Michuzi

Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) aagwa leo jijini dar

 Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni.   Bw. Saguda ambaye ndie alikuwa mchumba wa Marehemu akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.  Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steven Nyerere akilia kwa uchungu.  Sehemu ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri William Lukuvi aagwa rasmi shirika la Nyumba la Taifa !

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya Shirika la Nyumba la Taifa kwa Waziri huyo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwa kuonyesha utendaji uliokuwa wa kasi usiochoka wakati Waziri Lukuvi alipotembelea katika Shirika hilo kuaga rasmi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani