MAREHEMU LUCIA KIBUSI AAGWA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-iWRagpebYlo/U_pCObwzXZI/AAAAAAAGCFs/O0TdiWqwWKc/s72-c/IMG-20140816-WA0001%2B(1).jpg)
Marehemu Mama Lucia Kibusi enzi za Uhai wake.
Watoto wa marehemu Martin na Steven Kibusi kulia wakiwa kwenye chakula cha pamoja baada ya ibada ya kumbukumbu ya kumuaga mama yao kumalizika kushoto ni marafiki wa karibu na watoto wa marehemu wakiwafariji marafiki zao. Pia familia ya marehemu walitoa shukurani za dhati kwa wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika msiba huu wa mpendwa mama yao na kuwezesha kukusanya $19,000 ili kuwezesha kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania "...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI
10 years ago
GPLKISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iWQLdLp0ng8/U-8sr9XOsPI/AAAAAAAF__o/-8GgxoNhOc8/s72-c/IMG-20140816-WA0001.jpg)
Msiba Boston Massachusetts
![](http://2.bp.blogspot.com/-iWQLdLp0ng8/U-8sr9XOsPI/AAAAAAAF__o/-8GgxoNhOc8/s1600/IMG-20140816-WA0001.jpg)
kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana naMartin Kibusi 16179436400Steven kibusi. 16173142910Margareth Pelelwa Shauri 7816326161Mapi Andrew Mwankemwa 857 251-8881 Vilevile unaweza...
10 years ago
MichuziMISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI
Wanafamilia wakifuatilia misa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi29 Jul
SALAAM ZA EID KUTOKA MASSACHUSETTS, MAREKANI
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/1qc6sCR9Sa9cRmGCRooOHCsVngbe5SwybiecLQv9vLNIuH4a_0vGphpzUVHiQ5lSmOzZ-9cHRAvhX0zDSjNQgLrZI7O8Hmg085kNqEIVfq8m794qW1-mUUHG0bwXuApHzMLGbessolOGmbwtdlQsce-LNjaC00zLJhQn1hitNEqFGe60UNO2VA=s0-d-e1-ft#https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfp1/t1.0-9/10343660_10204054559221307_3214042345131387421_n.jpg)
5 years ago
Bongo514 Feb
Marehemu Mh. Elly Macha aagwa rasmi
Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa pamoja na wabunge mbalimbali wameshiriki kuuaga mwili wa aliyekua mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Dkt Elly Macha, aliyefariki nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mwili huo umewasili alfajiri leo, katika uwanja wa Mwalimu Nyerere ambapo mapokezi yaliongozwa na Naibu spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson na kusafirishwa tena mpaka Dodoma ambapo viongozi wa bunge wamepata fursa ya kuuaga Mheshimiwa Macha kwenye viwanja...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SAA4EGYhkxc/U48_aekqvEI/AAAAAAAFni0/rBpD-1poN04/s72-c/2.jpg)
MAREHEMU GEORGE TYSON AAGWA LEO JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-SAA4EGYhkxc/U48_aekqvEI/AAAAAAAFni0/rBpD-1poN04/s1600/2.jpg)
Sehemu ya Wacheza Filamu nchini waliokuwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakijipanga tayari kwa akili ya kuongoza shughuli ya Kuga mwili iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo baada ya kukamiliza kwa mipango yote.
![](http://2.bp.blogspot.com/-BjNfoqMXnVM/U48_nmB1WGI/AAAAAAAFnkA/JnGKD_1GAss/s1600/29.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-R3HnWu5h4KE/U4dCF7UmDjI/AAAAAAAFmJ8/OWTlhZVHJdI/s72-c/01.jpg)
Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) aagwa leo jijini dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-R3HnWu5h4KE/U4dCF7UmDjI/AAAAAAAFmJ8/OWTlhZVHJdI/s1600/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-BZdOCUHAQkg/U4dCJNUytfI/AAAAAAAFmKE/WeItRRImpKU/s1600/16.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dy4RKpcAagI/U4dCQsUvdDI/AAAAAAAFmKM/ovue1sfnb-c/s1600/18.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OrYcXN2h1n8/U4dChWdcK4I/AAAAAAAFmK8/MF7lbvU7eLA/s1600/13.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vVz2Ye8cpFY/U4dChM3aHBI/AAAAAAAFmKs/hkKtE3U_Kd4/s1600/14.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-E5IKVzIdM7M/U4dCqBf6xII/AAAAAAAFmLU/o-_huLZTlvI/s1600/25.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SOQTkawxnlE/U4dCrKy7QhI/AAAAAAAFmLc/e775r12DgKU/s1600/26.jpg)
11 years ago
Michuzi28 May
DIAMOND KUWARUSHA WAKAZI WA EAST COAST MAREKANI..NEW YORK..NEW JERSEY..BOSTON...DE..NC..OH..DC..JUMAMOSI HII MAY 31 PALE ELIZABETH CITY NJ
BAADA YA KUACHA HISTORIA DALLAS NA HOUSTON SASA NI ZAMU YA EAST COAST FOR INFO PLZ CALL DMK-301-661-6207 ..INNO-713-373-6525 ..PETER-240-605-1870...JAHAZI -201-673-4282