Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msiba Boston Massachusetts

Familia ya ndugu Martin Kibusi na Steven kibusi inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Lucia Kibusi kilichotokea August 15/2014 boston MA. Msiba upo nyumbani kwake Martin 364 Main st Apt 6 Reading, MA 01867.mipango ya kusafirisha mwili kwenda Tanzania inaendelea,tunaomba ushirikiano wenu wa hali na mali
kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana naMartin Kibusi 16179436400Steven kibusi. 16173142910Margareth Pelelwa Shauri 7816326161Mapi Andrew Mwankemwa 857 251-8881 Vilevile unaweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAREHEMU LUCIA KIBUSI AAGWA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI

Marehemu Mama Lucia Kibusi enzi za Uhai wake.Watoto wa marehemu Martin na Steven Kibusi kulia wakiwa kwenye chakula cha pamoja baada ya ibada ya kumbukumbu ya kumuaga mama yao kumalizika kushoto ni marafiki wa karibu na watoto wa marehemu wakiwafariji marafiki zao. Pia familia ya marehemu walitoa shukurani za dhati kwa wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika msiba huu wa mpendwa mama yao na kuwezesha kukusanya $19,000 ili kuwezesha kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania "...

 

10 years ago

Michuzi

KISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI

Ustadh Hemed (mwenye kipaza sauti) akiongoza kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile apone haraka kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015 mjini Boston jimbo la Massachusetts, Rashid Mkakile (hayupo pichani) alipata stroke alipokua kikazi jimboni hapo na kumpelekea kulazwa katika hospitali ya Beth Israel Deaconess Medical Center tangia mwezi wa Oktoba 2014 na baadae kuendelea na mazoezi ya mama cheza (Physical therapy) na kumfanya kuendelea vizuri na kesho Jumapili atarejea Dallas...

 

10 years ago

GPL

KISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI‏

Watanzania wa Massachusetts wakifanya kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile aendelee kupata nafuu kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015. mjini Boston jimbo la Massachusetts. Kushooto n Mohammed Mkakile(mdogo wa Rashid), Rashid Mkakile na Eliud Mbowe wakifuatilia…

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa ya msiba Tanzania na Massachusetts


Familia ya Stambuli inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Idrissa Stambuli (32) kilichotokea Jumatatu tarehe 03/11/2014 huko Tanzania. Mazishi yatafanyika Jumatano tarehe 5/11/2014  baada ya salatul dhuhri huko Mbagala, Dar es salaam, Tanzania.

Kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani 17 Walsh Street, Springfield, Massachusetts 01109.

Tutafanya kisomo cha kumuombea marehemu Jumamosi Novemba 8, 2014 kuanzia saa kumi jioni (4pm) mpaka saa Tatu usiku (9pm) katika Masjid Al Baqi 148 Fort...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA BOSTON NA TANZANIA


Msiba - BostonDada yetu Francisca Mwaluli amefiwa na mwanawe Kevin(19yrs) jana July-20th Dar-es-Salaam, Tanzania. Our dear sister Francisca Mwaluli is bereaved of her son who passed away yesterday, July 20th. May Kevin's soul Rest in Peace, Amen. Msiba upo nyumbani kwake 340 Centre St, Jamaica Plain. Pole sana my dear Francisca MwaluliMungu ailaze roho ya marehemu Kevin mahali pema peponi, Amen.




 

11 years ago

Michuzi

SALAAM ZA EID KUTOKA MASSACHUSETTS, MAREKANI

Familia ya Kibodya inawatakia Waislam wote Dunia Eid Mubarak njema yenye amani na upendo tuendeleze yote mema tullyofanya kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

10 years ago

Vijimambo

MASSACHUSETTS KUPATA THELUJI FUTI 2 WIKIENDI HII

A snow plow sits on the street while snow falls near Boston Common on February 9, 2013 in Boston, Massachusetts. Massachusetts and other states from New York to Maine are preparing for a major blizzard with possible record amounts of snowfall in some areas.Magari ya kukwangua theluji barabarani yakifanyakazi yao barabara mjini Boston ambapo siku ya Jumamosi Februari 7, 2015 ilianzakuanguka theluji ambayo imetabiriwa itaanguka mpaka siku ya Jumannne Februari 10, 2015 na kukadiriwa kufikia futi 2.A snowplow works along Winthop Shore Drive February 8, 2013 in Winthrop, Massachusetts. Massachusetts has declared a state of emergency, with Governor Deval Patrick ordering all cars off the road starting at 4 pm, and local public transportation, including air traffic, has been halted for the remainder of the night. High tides are expected around ten this evening, with a coastal flood warning issued.Magari yakiendela kuweka sawa barabara kurahisisha wenyekutumia vyombo vya moto kupita kwa urahisi.Lauren Montana Lauren Montana scrapes the snow off of her car on February 9, 2013 in the Brighton neighborhood of Boston, Massachusetts. The powerful storm has knocked out power to 650,000 and dumped more than two feet of snow in parts of New England.Lauren Montana akiondoa theluji kwenye gari yake iliyofunikwa kwenye tufani ya theluji iliyoanguka mji huo wa Boston Februari 8, 2013.Lauren Montana Lauren Montana scrapes the snow off of her car on February 9, 2013 in the Brighton neighborhood of Boston, Massachusetts. The powerful storm has knocked out power to 650,000 and dumped more than two feet of snow in parts of New England.Lauren Montana...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WA MASSACHUSETTS NINAWAONEA GERE KWA UPENDO NA MSHIKAMANO WENU

Na Mwandishi wetu, Washinton, DCKitendo cha Watanzania wa Massachusetts cha kujitokeza kwa wingi kwenye kisomo cha Rashid Mkakile ndicho kilichonipa msukumo na wa mimi kuandika haya ya kwangu kutoka rohoni, sio kwa nia mbaya bali ni kujivunia Utanzania wangu na Wabongo wa Massachusetts wameninifundisha jambo ambalo siku zote kichwani mwangu nilifikiria halitawezekana kwenye Jumuiya zetu za Kitanzania zilizo mbali na nyumbani.

Maisha niliyokulia mimi ni maisha ya kuwa karibu na ndugu, jamaa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani