Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WA MASSACHUSETTS NINAWAONEA GERE KWA UPENDO NA MSHIKAMANO WENU

Na Mwandishi wetu, Washinton, DCKitendo cha Watanzania wa Massachusetts cha kujitokeza kwa wingi kwenye kisomo cha Rashid Mkakile ndicho kilichonipa msukumo na wa mimi kuandika haya ya kwangu kutoka rohoni, sio kwa nia mbaya bali ni kujivunia Utanzania wangu na Wabongo wa Massachusetts wameninifundisha jambo ambalo siku zote kichwani mwangu nilifikiria halitawezekana kwenye Jumuiya zetu za Kitanzania zilizo mbali na nyumbani.

Maisha niliyokulia mimi ni maisha ya kuwa karibu na ndugu, jamaa na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Asanteni Watanzania kwa upendo wenu

RAIS Jakaya Kikwete juzi alikutana na kufanya mazungumzo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande Othman na ujumbe wake ambao uko nchini Marekani kikazi. Aidha, Rais Kikwete amewashukuru Watanzania kwa maelfu ya salamu za upendo kwake zikimtakia heri aweze kupona, ambazo Rais amekuwa anapokea.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA MASSACHUSETTS NI MFANO WA KUIGWA WAJITOKEZA KWA WINGI KISOMO CHA MKAKILE

Ustadh Hemed (mwenye kipaza sauti) akiongoza kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile apone haraka kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015 mjini Boston jimbo la Massachusetts, Rashid Mkakile (hayupo pichani) alipata stroke alipokua kikazi jimboni hapo na kumpelekea kulazwa katika hospitali ya Beth Israel Deaconess Medical Center tangia mwezi wa Oktoba 2014 na baadae kuendelea na mazoezi ya mama cheza (Physical therapy) na kumfanya kuendelea vizuri na kesho Jumapili atarejea Dallas...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgombea Ubunge Arusha , Mustafa Panju apandikiza mbegu ya Upendo, Amani na Mshikamano

SAM_4682

Mkurugenzi wa Bushback Safaris, Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha, pia alizungumzia kuhusu mchakato wa ndani ya chama kumpata mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM siku moja baada ya kumalizika kwa mchakato wa kuzunguka katika kata 25 za kuomba kura kwa wananchama wa chama hicho,aliwataka wananchi kumchagua mwanachama...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE ARUSHA ,MUSTAFA PANJU APANDIKIZA MBEGU YA UPENDO,AMANI NA MSHIKAMANO

SAM_4682Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha, pia alizungumzia kuhusu mchakato wa ndani ya chama kumpata mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM siku moja baada ya kumalizika kwa mchakato wa kuzunguka katika kata 25 za kuomba kura kwa wanachama wa chama hicho,aliwataka wananchi kumchagua mwanachama...

 

10 years ago

Michuzi

SOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS CHINI YA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW ENGLAND YAFANA

 Watanzania wa Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto.Mkuu wa Wilaya ya Springfield Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na Gloria.Manka na Jessica (kushoto) katika picha ya pamoja.kwa picha zaidi bofya hapa

 

10 years ago

GPL

SOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS CHINI YA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW ENGLAND YAFANA‏

Mkuu wa Wilaya ya Springfield Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na Gloria. Watanzania wa Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano

WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano

Frank Mvungi-Maelezo
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...

 

11 years ago

Mwananchi

NinapodadavuaVijana jitokezeni kwa wingi, huu ni wakati wenu

Chama Cha Mapinduzi mwanzoni mwa mwaka huu kiliwaonya makada wake sita kwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Waliopewa angalizo hilo walikuwa ni Edward Lowassa, Frederick Sumaye, Bernard Membe, Stephen Wassira, William Ngeleja pamoja na January Makamba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani