Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SALAAM ZA EID KUTOKA MASSACHUSETTS, MAREKANI

Familia ya Kibodya inawatakia Waislam wote Dunia Eid Mubarak njema yenye amani na upendo tuendeleze yote mema tullyofanya kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Salaam za Eid el fitr kutoka maryland, marekani

Wadau wakitoka katisa swala ya Eid El Fitr katika msikiti wa Islamic Centre kitongojini Silver Spring, Maryland, Marekani. Wote wanawatakia Eid njema wadau wote wa Globu ya Jamii popote walipo

 

10 years ago

Michuzi

MAREHEMU LUCIA KIBUSI AAGWA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI

Marehemu Mama Lucia Kibusi enzi za Uhai wake.Watoto wa marehemu Martin na Steven Kibusi kulia wakiwa kwenye chakula cha pamoja baada ya ibada ya kumbukumbu ya kumuaga mama yao kumalizika kushoto ni marafiki wa karibu na watoto wa marehemu wakiwafariji marafiki zao. Pia familia ya marehemu walitoa shukurani za dhati kwa wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika msiba huu wa mpendwa mama yao na kuwezesha kukusanya $19,000 ili kuwezesha kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania "...

 

10 years ago

Michuzi

KISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI

Ustadh Hemed (mwenye kipaza sauti) akiongoza kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile apone haraka kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015 mjini Boston jimbo la Massachusetts, Rashid Mkakile (hayupo pichani) alipata stroke alipokua kikazi jimboni hapo na kumpelekea kulazwa katika hospitali ya Beth Israel Deaconess Medical Center tangia mwezi wa Oktoba 2014 na baadae kuendelea na mazoezi ya mama cheza (Physical therapy) na kumfanya kuendelea vizuri na kesho Jumapili atarejea Dallas...

 

10 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI MAREKANI WATEMBEELEA WIZARA YA UCHUKUZI NA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kufua umeme ya TANASI, William Crawford (mwenye tai ya blue), akimtambulisha mjukuu kwake Colin Machamsoc kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka, mara baada ya kuwasilia Wizarani hapo walipotembelea Leo Asubuhi kutaka kufahamu fursa zilizo za uwekezaji katika Wizara ya Uchukuzi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, akisisitiza jambo kwa kundi la wawekezaji kutoka nchini Marekani waliotembelea Wizara hiyo leo asubuhi, kutaka...

 

10 years ago

GPL

KISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI‏

Watanzania wa Massachusetts wakifanya kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile aendelee kupata nafuu kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015. mjini Boston jimbo la Massachusetts. Kushooto n Mohammed Mkakile(mdogo wa Rashid), Rashid Mkakile na Eliud Mbowe wakifuatilia…

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu
MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua  jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson  ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya  kongamano kubwa  la watoto na wazazi  katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...

 

11 years ago

Michuzi

EID MUBARAK kutoka CCM california

 
Chama Cha Mapinduzi Tawi la California, Kinawatakia Kheri na Baraka Waislamu wenzetu wa hapa na dunia kote katika sherehe hii muhimu ya EID MUBARAK. Tunaomba kupitia sherehe hizi amani na upendo vitawale na Mungu azidi kutujalia  huruma,nguvu na maisha marefu. Tuko pamoja katika shamrashamra. HAPPY EID EL-FITRKHERI YA IDD EL-FITR

 

11 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA HOUSTON, TX



 Abou wa Houston. TX  mdau wa Vijimambo akiwa na mtoto wake Abou Jr  baada ya sala ya Eid. Abou anatoa salamu za Eid kwa waislam wote na Watanzania popote walipo.
 Abou akipata ukodak na Jr ndani ya msikiti huko Houston. TXUkodak pamoja na maustadh wenzake baada ya sala ya Eid

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani