Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EID MUBARAK kutoka CCM california

 
Chama Cha Mapinduzi Tawi la California, Kinawatakia Kheri na Baraka Waislamu wenzetu wa hapa na dunia kote katika sherehe hii muhimu ya EID MUBARAK. Tunaomba kupitia sherehe hizi amani na upendo vitawale na Mungu azidi kutujalia  huruma,nguvu na maisha marefu. Tuko pamoja katika shamrashamra. HAPPY EID EL-FITRKHERI YA IDD EL-FITR

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA HOUSTON, TX



 Abou wa Houston. TX  mdau wa Vijimambo akiwa na mtoto wake Abou Jr  baada ya sala ya Eid. Abou anatoa salamu za Eid kwa waislam wote na Watanzania popote walipo.
 Abou akipata ukodak na Jr ndani ya msikiti huko Houston. TXUkodak pamoja na maustadh wenzake baada ya sala ya Eid

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA KWA MDAU WA VIJIMAMBO

  Salamu za Eid Mubarah kutoka kwa mdau wa Vijimambo Salum Jongo wa Magati Pharmacy  Kijitonyama Dar-Es-Salaam. Hapa Salum Jongo kulia  akipata ukodak pamoja na maustadh wenzie baada ya sala ya Eid. mbele ya Mosque Al Noor Upanga Dar-Es-Salaam.Salum  akipata ukodak wa kumbukumbu nje ya Al Noor Mosque Upanga baada ya sala ya Eid.

 

9 years ago

Michuzi

MKONO WA EID MUBARAK KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU UGHAIBUNI

Bendi maarufu ya muziki wa dasni barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuniyenye makao kule Ujerumani inawatakia wadau wote mkono wa Eid el Hajj.Bendi hiyo inawatakia kila la heri na baraka katika kusherekea siku hii ya Eid Al Hajj, na kusema sikuu hii iwe ya amani, upendo na furaha. Ngoma Africa band inawapa mkono wa Eid Mubaraka.
usikose kufungua sikio at www.reverbnation.com/ngomaafricaband

 

10 years ago

Vijimambo

EID MUBARAK

CREW NZIMA YA VIJIMAMBO INAWATAKIA WAISLAM WOTE NA WALE WASIO  WAISLAM PAMOJA NA WAPENZI WA VIJIMAMBO SIKUKUU NJEMA YA EID, TUJUMUIKE PAMOJA, TULE,  TUCHEKE, TUSHEREHEKE  NA TUFURAHIKE NA VIJIMAMBO. EID MUBARAK

 

10 years ago

Vijimambo

SALAM ZA EID MUBARAK

 Humoud Seif na Zuwena Idd wa Maryland USA, wanawasalimia mama zao wazazi Maryam na Safia Humoud, wakiwa Zanzibar, Raya, Rauhia, Jokha, Naila na watoto wao wote wakiwa huko dar es salaam, Tanzania, tunakutakieni sikukuu njema

Mwenyekiti wa Jumuya ya Waislam watanzania (TAMCO) Washington DC, pamoja na familia yake  wanawatakia watanzania wote Eid njema, furaha na amaniBwana Deddy Ruba na sheikh Yussuf Makka wakiwa na wingi wa furana na familia zao, wanawatakia watu wote Eid njema





 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

Salama za Eid Mubarak from North Carolina

Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly walipokwenda kupata Sala ya Eid leo Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina ambapo wote wawili wanahudhuria DICOTA 2014 Convention inayofanyika katika hoteli ya Millennium mjini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani