Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Salam za Eid kutoka Global Publishers

unnamed

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA EID AL HAJJ NJEMA

Uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, wanawatakia wasomaji wake sikukuu jema ya Eid al Hajj.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA EID MUBARAK NJEMA

Tuisherehekee kwa upendo,amani na tudumishe umoja wetu. Eid Mubarak.

 

10 years ago

Michuzi

Salam za Eid na Rambirambi kutoka kwa Zanzibar Diaspora (ZADIA)

TAARIFAAssalamu Alaykum: Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Allah Subhanahu Wa Taala kwa kutujaalia kuwa wazima na kuadhimisha Siku Kuu ya Idd Al-Adh-ha ya mwaka 1436H (2015). Idd Al-Adh'ha ni Siku Kuu kubwa kati ya Siku Kuu mbili katika Uislamu, ni siku ya furaha, kwa familia na jamii kwa ujumla. Kwa niaba ya Uongozi wenu wa ZADIA, naungana na WanaZadia wote, Wazanzibari, na Waislamu kwa ujumla katika kuadhimisha siku hii adhimu.Kwa vile hii ni Siku Kuu Kubwa, furaha yangu ingekuwa kubwa...

 

11 years ago

GPL

BURUDIKA NA HABARI MOTOMOTO KUTOKA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS

Pata habari motomoto kwa kusoma magazeti ya Global Publishers Ltd ambayo ni Ijumaa Wikienda, Championi, Uwazi, Risasi, Amani na Ijumaa.

 

10 years ago

GPL

STORI 10 ZILIZOBAMBA KUTOKA TOVUTI YA GLOBAL PUBLISHERS MWAKA 2014

Stori: Gladness Mallya
KABANG! Picha za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’ zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha yake. KUSOMA ZAIDI INGIA HAPA: SHILOLE LIVE CHUMBANI
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando… ...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS YAPATA VYETI VYA HESHIMA KUTOKA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA

VYETI viwili vya heshima vilivyokabidhiwa kwa Kampuni ya Global Publishers  Ltd kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika hafla fupi iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenester Mhagama. Global Publishers imepata vyeti hivyo kwa kuwa mmojawapo ya wadau waliomstari wa mbele katika kuchangia elimu hapa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani