Utamaduni ya kujisomea vitabu wadaiwa kudorora kwa  Madadiliko Ya Kijamii
Kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kunatajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na Watanzania kuacha utamaduni wa kujisomea ambapo mabadiliko ya kijamii yakidaiwa kuharibu utamaduni huo.
Inaelezwa kuwa watoto na wazazi huchukua muda mwingi kuangalia televisheni na hivyo kutotilia maanani suala la kujisomea na kuwahamasisha watoto kusoma vitabu mbalimbali vyenye mafunzo ya kuwajengea uwezo katika maisha yao.
Hili la kudumaa kwa utamaduni wa kujisomea limesababisha pia kudumaa na kushuka kwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Mar
Wanigeria 3 wadaiwa kukutwa na ‘unga’ kwenye vitabu
RAIA watatu wa Nigeria na Mtanzania, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam wakituhumiwa wakitaka kusafirisha dawa za kulevya, zikiwa kwenye vitabu kwenda nje ya nchi. Watuhumiwa hao wanadaiwa walikuwa katika harakati za kutuma dawa hizo kwa kutumia Wakala wa Usafirishaji Mizigo ya DHL kwenda Liberia.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Watanzania washauriwa kujenga utamaduni wa kusoma, kuandika vitabu
.jpg)
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
“Wajengeeni watoto utamaduni wa kusoma vitabu” — Mama Salma Kikwete
MKE wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi Tamasha la kwanza la vitabu vya watoto sambamba na kampeni ya usomaji yenye kauli mbiu ‘Mpe Kila Mtoto Kitabu’ kwenye uzinduzi uliofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka walezi na wazazi nchini kuwanunulia vitabu watoto wao ili kuwajengea utamaduni wa kupenda kujisomea vitabu vya ziada...
5 years ago
Michuzi
Jamii yatakiwa Kuwa na Utamaduni wa Kusoma Vitabu ili kuongeza Maarifa.

Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Emmanuel Temu akizungumza kwa niaba ya Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe Waziri wa Wizara hiyo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu kinachoitwa “Rais Magufuli na Serikali yake walivyobomoa Hekalu na kulijenga upya”kilichoandikwa na Mw.Projestus Vedasto Kabagambe uliofanyika jana Jijini Dodoma.

9 years ago
StarTV14 Nov
TTCL lapinga madai ya TEWUTA kudorora kwa huduma
Wakati Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Mtandao wa Mawasiliano TEWUTA kikidai kuwepo kwa hali mbaya ya huduma na utendaji kwenye shirika la simu nchini TTCL, uongozi wa shirika hilo umeutaka umma wa Tanzania kutozingatia tamko hilo kwa kuwa halina maslahi yoyote kitaifa.
TTCL inasema shirika lake linaendelea vema kutoa huduma kwa wananchi na wanaamini hivyo kwa kuwa halijapata malalamiko yoyote yanayohusiana na utoaji huduma duni kutoka kwa wateja.
Start Tv imetembea ofisi za TTCL makao...
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.
Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Sarafu ya Urusi yazidi kudorora
11 years ago
Mwananchi23 Oct
Ujenzi holela unachangia kudorora uchumi