Sarafu ya Urusi yazidi kudorora
Thamani ya sarafu ya Urusi imezidi kuzorota licha ya juhudi za benki kuu kuimarisha kiwango cha ubadilishanaji wa fedha
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Apr
G7 yazidi kuibana zaidi Urusi
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Ujenzi holela unachangia kudorora uchumi
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Kudorora elimu kwabadili mwelekeo wa shule nchini
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Tatizo la kudorora kilimo cha pamba ni soko au tija?
9 years ago
StarTV14 Nov
TTCL lapinga madai ya TEWUTA kudorora kwa huduma
Wakati Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Mtandao wa Mawasiliano TEWUTA kikidai kuwepo kwa hali mbaya ya huduma na utendaji kwenye shirika la simu nchini TTCL, uongozi wa shirika hilo umeutaka umma wa Tanzania kutozingatia tamko hilo kwa kuwa halina maslahi yoyote kitaifa.
TTCL inasema shirika lake linaendelea vema kutoa huduma kwa wananchi na wanaamini hivyo kwa kuwa halijapata malalamiko yoyote yanayohusiana na utoaji huduma duni kutoka kwa wateja.
Start Tv imetembea ofisi za TTCL makao...
9 years ago
StarTV30 Nov
 Utamaduni ya kujisomea vitabu wadaiwa kudorora kwa  Madadiliko Ya Kijamii
Kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kunatajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na Watanzania kuacha utamaduni wa kujisomea ambapo mabadiliko ya kijamii yakidaiwa kuharibu utamaduni huo.
Inaelezwa kuwa watoto na wazazi huchukua muda mwingi kuangalia televisheni na hivyo kutotilia maanani suala la kujisomea na kuwahamasisha watoto kusoma vitabu mbalimbali vyenye mafunzo ya kuwajengea uwezo katika maisha yao.
Hili la kudumaa kwa utamaduni wa kujisomea limesababisha pia kudumaa na kushuka kwa...
10 years ago
Habarileo08 Sep
Sarafu ya Sh 500 yatambulishwa
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetambulisha toleo jipya la sarafu ya Sh 500, itakayoanza kutumika Oktoba 2014 sambamba na noti ya Sh 500, ambayo itakuwa ikiondolewa katika mzunguko wa fedha taratibu.
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Sarafu ya Sh 500 yatengenezewa mikufu
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
SARAFU mpya ya shilingi 500 inadaiwa kuhujumiwa na baadhi ya watu ambao huinunua kwa Sh 2,500 na baadaye kuiyeyusha kwa ajili ya kutengenezea mikufu ya fedha (silver).
Taarifa ambazo MTANZANIA imezipata kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza tangu sarafu hizo zilipotolewa kwa mara ya kwanza Oktoba mwaka jana, baadhi ya watu wamekuwa wakizikusanya na kuzifanya kuadimika mtaani.
Imeelezwa kuwa tangu kutolewa kwa sarafu hiyo imekuwa adimu mitaani jambo ambalo si...
11 years ago
Mwananchi07 Dec
‘Kuondoa sarafu kunahitaji utafiti’