Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kuondoa sarafu kunahitaji utafiti’

Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha Dar es Salaam (IFM), Dk Bill Kiwia amesema suala la kuondoa sarafu na Benki Kuu katika orodha ya Mambo ya Muungano linahitaji kufanyiwa utafiti kwa umakini ili kuepusha athari za kiuchumi zinazoweza kujitokeza kwa pande mbili za Muungano

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sarafu ya Sh 500 yatambulishwa

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetambulisha toleo jipya la sarafu ya Sh 500, itakayoanza kutumika Oktoba 2014 sambamba na noti ya Sh 500, ambayo itakuwa ikiondolewa katika mzunguko wa fedha taratibu.

 

10 years ago

Mtanzania

Sarafu ya Sh 500 yatengenezewa mikufu

miatanoNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
SARAFU mpya ya shilingi 500 inadaiwa kuhujumiwa na baadhi ya watu ambao huinunua kwa Sh 2,500 na baadaye kuiyeyusha kwa ajili ya kutengenezea mikufu ya fedha (silver).
Taarifa ambazo MTANZANIA imezipata kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza tangu sarafu hizo zilipotolewa kwa mara ya kwanza Oktoba mwaka jana, baadhi ya watu wamekuwa wakizikusanya na kuzifanya kuadimika mtaani.
Imeelezwa kuwa tangu kutolewa kwa sarafu hiyo imekuwa adimu mitaani jambo ambalo si...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sarafu ya Afrika Kusini yaanguka

Sarafu ya Afrika Kusini ,Rand, imeporomoka hadi kiwango cha chini zaidi ikilinganishwa na ile ya dola na hivyobasi kusababisha hasara kubwa katika miezi 19 huku kukiwa na wasiwasi kuhusu ukuwaji mdogo wa uchumi wa China.

 

11 years ago

Michuzi

Jelo la sarafu laja karibuni

Sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni. Noti ya Mia Tano maarufu kama 'Jelo' itaendelea kutumika, ila itaondolewa taratibu katika mzunguko, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa BoT, Bw Emmanuel Boaz, aliyeiambia Globu ya Jamii kwenye banda la Benki Kuu katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sarafu ya Urusi yazidi kudorora

Thamani ya sarafu ya Urusi imezidi kuzorota licha ya juhudi za benki kuu kuimarisha kiwango cha ubadilishanaji wa fedha

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Shein apewa sarafu ya 50,000/-

BENKI  Kuu ya Tanzania  (BoT), imekabidhi sarafu ya sh 50,000  kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein. Hafla  ya makabidhiano hayo  ilifanyika wakati...

 

9 years ago

Mwananchi

BOT yafungua dirisha la chenji za sarafu

Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Martin Kobelo amesema benki hiyo imeanzisha dirisha la utoaji wa chenji za sarafu ili kukidhi mahitaji ya ombi la wananchi kutaka huduma hiyo itolewa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sarafu ya 500/- ni kuporomoka kwa shilingi?

TAKRIBANI wiki mbili zimepita tangu sarafu ya sh.  500 zilipoingia kwenye mzunguko wa fedha na kuanza kutumika  baada ya mchakato wa kubadilisha fedha hizo kutoka kwenye noti kwenda kwenye sarafu...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KUTOCHAKAZA NOTI NA SARAFU

GAVANA wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Profesa. Frolens Luoga amewashauri wananchi kutumia vyema fedha bila kuziharibu wala kuzichakaza kutokana na ubora na uthamani wa utengenezaji wake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Prof. Luoga amesema, lazima fedha zitumike kwa uangalifu na kuwaasa wananchi kutumia fedha hizo bila kuzichakaza, kuzitupa wala kuziandika kwa kuwa fedha hizo zinapoharibiwa zinakuwa katika hatari ya kuharibiwa kabisa na mashine maalumu pindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani