Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOT yafungua dirisha la chenji za sarafu

Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Martin Kobelo amesema benki hiyo imeanzisha dirisha la utoaji wa chenji za sarafu ili kukidhi mahitaji ya ombi la wananchi kutaka huduma hiyo itolewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BIASHARA YA CHENJI YAZIDI KUNOGA

 Biashara ya kuuza chenji za sarafu imezidi kutoga katika maeneo mengi hapa jijini Dar, kama inavyoonekana pichani. Hapo ukitoa Buku unapata sh. 700 inayobaki inakuwa imekatwa.Upo hapoo???

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda: Ninatosha na chenji inabaki

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewashukuru wanachama waliojitokeza kumdhamini, huku akieleza kuwa anaondoka mkoani Iringa na msemo mpya; “Yeye anatosha na chenji inabaki.”

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashabiki Afrika mtarudishiwa chenji?

Wachezaji wa Sunderland wameamua kuwarudishia Mashabiki wao gharama walizotumia kuutizama mchezo wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Madawati ya ‘Chenji ya Rada’ yameota mbawa?

Ni fedheha kubwa kwa Serikali kuwa na kigugumizi kila inapotakiwa kutoa maelezo au ufafanuzi kuhusu matumizi ya Sh73.6 bilioni zilizotengwa kununua vitabu na madawati kwa shule za msingi nchini. Suala hilo limekuwa kitendawili kutokana na ukweli kuwa, zaidi ya asilimia 60 ya madawati yaliyopangwa kununuliwa kwa ‘Chenji ya Rada’ hayakununuliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatoa kauli chenji ya rada

SERIKALI imesema chenji ya rada itahusika na ununuzi wa madawati na vitabu katika shule za Tanzania Bara pekee.

 

11 years ago

Habarileo

Mushkeli vitabu vya chenji ya rada

SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ni haramu kutoa peremende badala ya chenji Kenya

Benki kuu ya Kenya CBK imetoa taarifa katika magazeti ya leo nchini humo ikiyataka maduka kusita kutoa vitu mbadala vya masalio ya sarafu ya taifa hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada

Wabunge wengi wamedaiwa kutamani kunufaisha majimbo yao fedha zilizotokana na chenji ya rada, hivyo ni changamoto kwa wizara zilizokabidhiwa kusimamia matumizi yake.

 

10 years ago

Habarileo

Masasi wapokea madawati 600 ya chenji ya rada

HALMASHAURI ya mji wa Masasi mkoani Mtwara imepokea madawati ya kisasa ya plastiki ngumu 617 kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani