Jelo la sarafu laja karibuni
![](http://2.bp.blogspot.com/-2bFVIJXVeJI/U7gVgKqLMsI/AAAAAAAFvKM/OxSy8SnxEcA/s1600/unnamed+(2).jpg)
Sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni. Noti ya Mia Tano maarufu kama 'Jelo' itaendelea kutumika, ila itaondolewa taratibu katika mzunguko, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa BoT, Bw Emmanuel Boaz, aliyeiambia Globu ya Jamii kwenye banda la Benki Kuu katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTAMASHA LA KEKI LAJA
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-Bcqy-Jd-8mI/UrQKleXnajI/AAAAAAACX3Y/Ap4s6OSAv1Y/s1600/tamasha+la+christmas.jpg?width=640)
10 years ago
GPLTAMASHA LA INJILI NA KUKUZA ELIMU LAJA
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na askari Polisi wa wa jeshi hilo. (Picha ya Maktaba).
Na Tamimu Adam, wa Jeshi la Polisi.
Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa kuboresha usalama wa
jamii nchi nzima ambao unalenga kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa usalama
ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni ...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4KcAgOw8Otw/Vmcaafolj-I/AAAAAAAILEw/VeNQY3lq9W8/s72-c/download.jpg)
Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4KcAgOw8Otw/Vmcaafolj-I/AAAAAAAILEw/VeNQY3lq9W8/s400/download.jpg)
Akihitimisha maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nmIQUWjQ8xE/Xk_wHlYwesI/AAAAAAALeuU/LZkVWRL0HOwuUq1PiWqkXOxCC2E9UHeUgCLcBGAsYHQ/s72-c/3e301e80-857f-4e33-bb62-babfdbdce135.jpg)
JIJI LA DODOMA LAJA NA MIKAKATI SABA YA KUONGEZA UKUSANYAJI WAKE WA MAPATO
ILI kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato kwa mwaka 2020/2021 Jiji la Dodoma limebuni njia saba za ukusanyaji ikiwemo kuwatumia watendaji wa kata na mitaa ili waweze kukusanya mapato katika maeneo yao.
Njia nyingine ni pamoja na kufanya uchambuzi wa vyanzo vya mapato vya halmashauri ili kukusanya takwimu sahihi za vyanzo hivyo, kuhakikisha ukusanyaji wa mapato kutoka vyanzo na vituo vyote unatumia mfumo wa kielektroniki ili kudhibiti upotevu wa mapato.
Akizungumza...
10 years ago
Habarileo08 Sep
Sarafu ya Sh 500 yatambulishwa
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetambulisha toleo jipya la sarafu ya Sh 500, itakayoanza kutumika Oktoba 2014 sambamba na noti ya Sh 500, ambayo itakuwa ikiondolewa katika mzunguko wa fedha taratibu.
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Sarafu ya Urusi yazidi kudorora
11 years ago
Mwananchi07 Dec
‘Kuondoa sarafu kunahitaji utafiti’