Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kudorora elimu kwabadili mwelekeo wa shule nchini

Itakumbukwa kuwa, katika mtihani wa kuhitimu Kidato cha Nne Mwaka 2O08, ufaulu kwa daraja la kwanza mpaka la nne ulikuwa asilimia 75.8.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Elimu ya hedhi itolewe kuanzia ngazi ya shule za msingi nchini

Mei 28, mwaka huu, kwa mara ya kwanza, Tanzania iliungana na na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya hedhi ambapo jamii inaelimishwa kuhusiana na jambo hilo ambalo ni la kawaida katika mfumo wao wa maisha, kila baada ya wastani wa siku 28.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE BINAFSI NA MCHANGO WAKE WA PEKEE KATIKA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI

 SHULE binasi zina mchango wa pekee katika sekta ya elimu hapanchini,  kwa kutambua wingi wa watoto na ufinyu wa nafasi za shule za serikali zilizopo.
Hiyo imefanya serikali kuchagua wale wenye uelewa wa juu pekeekujiunga na shuleza elimu ya juu, huku wale ambao pengine kwa bahatimbaya wamekwama kufikia alama zilizowekwa na serikali, wakiokolewa nashule binafsi.
Hii imesaidia idadi kubwa ya watoto nchini kupata elimu ya sekondaritofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wengi waliokuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Sera ya elimu ni mwelekeo mpya wa mafanikio

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru KawambwaNa Markus Mpangala

TANGU kutangazwa kwa mpango mpya wa elimu kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na suala hilo. Baadhi walikuwa wakishangazwa na mpango huo lakini wakakosa hoja za msingi kukosoa zaidi ya malalamiko ya kawaida na yaliyozoeleka.
Wakosoaji hawajatoa njia mbadala wala hawataki kuona mambo mazuri yaliyobuniwa. Binafsi ninadhani ni sahihi kubadili muundo wa elimu ambao kwa namna moja ama nyingine unatusaidia kuendelea kutumia nguvu za ujana kwa kutafuta maarifa zaidi kuliko...

 

10 years ago

Mwananchi

Sura na mwelekeo mpya wa elimu Tanzania

Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. Baada ya kimya kirefu, Serikali imekata kiu na shauku ya wadau wa elimu kwa kuzindua rasmi sera ya elimu na mafunzo.

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

 

Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.

Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.

Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...

 

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 70 wapoteza mwelekeo wa shule baada ya bomoabomoa Dar

 Zaidi ya wanafunzi 70 wa shule za msingi na sekondari huenda wakashindwa kuendelea na masomo, baada ya familia zao kukumbwa na bomoabomoa kwenye Bonde la Mto Msimbazi, na kukosa mahali pa kushi.

 

5 years ago

CCM Blog

TMA YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA MSIMU WA KIPUPWE NCHINI


Na Karama Kenyunko Michuzi TV.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni  hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani