Vigogo 15 mbaroni
WATUMISHI 15 wa Idara za Ardhi, Mipango Miji na Ujenzi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera akiwemo Msanifu wa Majengo wa Manispaa hiyo, Abukar Issa, wanashikiliwa na Polisi kwa uchunguzi zaidi dhidi ya tuhuma za kugawa hati ya ardhi kinyume cha Sheria ya Ardhi ya Mwaka 2004.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Vigogo Barclays mbaroni
10 years ago
Habarileo04 Nov
Vigogo TPDC watiwa mbaroni
VIGOGO wawili wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli (TPDC) jana walijikuta wakisota rumande kwa saa kadhaa baada ya kushikiliwa na Polisi, kwa kile kilichoelezwa ni kukiuka agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyokuwa imeagiza ikabidhiwe mikataba 26 ya gesi iliyofikiwa kati ya Serikali na wawekezaji.
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Vigogo Barclays mbaroni kwa wizi wa fedha
10 years ago
Mtanzania04 Nov
Kina Zitto wawatia mbaroni vigogo TPDC
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwande na Kaimu Mkurugenzi wa shirika hilo, James Andilile, wametiwa mbaroni baada ya kukaidi amri ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyotaka kukabidhiwa mikataba 26 ya gesi kwa takribani miaka mitatu sasa.
Vigogo hao walikamatwa jana Dar es Salaam katika ofisi Ndogo za Bunge walipokutana na kamati hiyo ambayo ilikaa kama mahakama.
Tangu mwaka 2012, PAC imekuwa ikiomba...