WAFUASI na viongozi 27 wa CHADEMA wamefikishwa kortini wakikabiliwa na mashtaka saba
Na Karama Kenyunko, globu ya jamii.
WAFUASI na viongozi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba yakiwemo ya kutoa maneno ya maudhi kwa askari magereza na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Hata hivyo ni washtakiwa 15 tu ndio wamesomewa mashtaka yao leo Machi 23,2020. Hata hivyo upande wa mashtaka umeomba hati ya wito kwa washtakiwa 12 ambao hawakuwepo leo mbele ya mahakama kujibu mashtaka yao ili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Wafuasi Chadema wapunguziwa mashtaka
5 years ago
MichuziWAFIKISHWA KORTINI KWA KUKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI YENYE MASHTAKA SABA ,LIMO LA KUFANYA UDANGANYIFU KATIKA SIMU ZA KIMATAIFA
RAIA wa Armenia Vardan Mkhitaryan mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam na Rosemary Mwamezi mkazi wa Makumbusho, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka saba yakiwemo ya kufanya udanganyifu kwenye mawasiliano ya simu za kimataifa na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya sh.milioni 44.5.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo leo Juni 8, mwaka 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Wafuasi 17 wa Chadema kortini kwa kutotii amri
WATU 17 wakiwemo viongozi watatu na wafuasi 14 wa Chadema mkoa wa Katavi wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kufanya maandamano mjini Mpanda kinyume cha sheria, wamenyimwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Mpanda.
5 years ago
MichuziVIONGOZI NA WAFUASI 27 WA CHADEMA KUKAMATWA
Katika kesi hiyo, viongozi na wafuasi 27 wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kukaidi amri halali na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Washitakiwa hao ambao hawajafika na kuamriwa kukamatwa ni Edga Adelin, Gerva Yenda, Regnald Masawe, Cesilia Michaeli na...
5 years ago
MichuziWafuasi wa Chadema marufuku mahakamani wakati wa usikilizwaji wa Rufaa ya viongozi wao
Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Lameck Mlacha ametoa amri hiyo leo Aprili 28,2020 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.
Amri hiyo imetolewa ikiwa ni njia moja wapo ya kuepukana na mikusanyiko katika kipindi hiki ambacho nchi...
5 years ago
MichuziWAKAZI WATATU DAR WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA SHTAKA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE
WAKAZI watatu wa jijini Dar es Salaam Jimmy Mlaki (23), mkazi wa Kinondoni Moscow, Stanley Ngowi maarufu kama Sultani (24), mkazi wa Tabata Segera na Issa Omari (29) wa Kimara wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi Wankyo Simon amedai mbele ya Hakimu Mkazi Rashid Chaungu kuwa Januari 27 mwaka huu huko Ubungo Kibo...
10 years ago
MichuziCCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...
5 years ago
MichuziWALIOCHAPISHA TANGAZO LA MIKOPO LINALOSEMA 'JANET MAGUFULI SACCOS' WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
MWANAMKE Masse Uledi (43) ambaye ni Mkazi wa Kitunda Magore na mfanyabiashara Nkinda Shekalage (34), anayeishi Tegeta wazo wamewamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka matatu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustina Mmbando ambayo ni kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha.
Katika hati ya mashtaka...
5 years ago
MichuziMKAZI WA DODOMA AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHTAKA MAWILI LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA
Mshtakiwa Nachipyangu, amesomewa mashtaka yake leo Juni 10, 2020 Wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Kasian Matembele.
Imedaiwa kuwa, April 24, 2015 huko katika benki ya CRDB tawi la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, mshtakiwa kwa njia ya udanganyifu alijipatia USD 14,320...