Wafuasi wa Chadema kizimbani Dar
Wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) waliokamatwa ndani ya ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi juzi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapandishwa kizimbani
NA FURAHA OMARY
WAFUASI 30 wa Chama cha CUF, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kufanya mgomo baada ya kukatazwa kukusanyika na kuandamana.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Emmilius Mchauru na kupelekwa rumande katika gereza la Segerea, kutokana na barua za wadhamini kutakiwa kuhakikiwa.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao ni Shabani Ngurangwa (56), Shabani Tano au...
9 years ago
Habarileo18 Sep
Wafuasi wa Chadema mbaroni
WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.
10 years ago
Habarileo25 Sep
Wafuasi wa Chadema wapata dhamana
WAFUASI watatu wa Chadema wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kuingia katika Makao Makuu ya Jeshi hilo kinyume cha sheria, wamepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Wafuasi Chadema wapunguziwa mashtaka
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z0OezKvypDo/XvHtBrfRkzI/AAAAAAALvEI/Pc3WmTSdo4IqLwLaHwSIEidbVUES4bYfgCLcBGAsYHQ/s72-c/MAHAKAMA%2B2018.jpg)
VIONGOZI NA WAFUASI 27 WA CHADEMA KUKAMATWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-z0OezKvypDo/XvHtBrfRkzI/AAAAAAALvEI/Pc3WmTSdo4IqLwLaHwSIEidbVUES4bYfgCLcBGAsYHQ/s640/MAHAKAMA%2B2018.jpg)
Katika kesi hiyo, viongozi na wafuasi 27 wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kukaidi amri halali na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Washitakiwa hao ambao hawajafika na kuamriwa kukamatwa ni Edga Adelin, Gerva Yenda, Regnald Masawe, Cesilia Michaeli na...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-lv6cBpLw9w8/XqfwlZSRJaI/AAAAAAALoc8/nPrMWy2lZn85hyJcD0pUGsVXuuY82xu1QCLcBGAsYHQ/s72-c/CHADEMA-LOGO.png)
WAFUASI WA CHADEMA MARUFUKU KUFIKA MAHAKAMANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-lv6cBpLw9w8/XqfwlZSRJaI/AAAAAAALoc8/nPrMWy2lZn85hyJcD0pUGsVXuuY82xu1QCLcBGAsYHQ/s400/CHADEMA-LOGO.png)
Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Lameck Mlacha ametoa amri hiyo leo Aprili 28,2020 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.
Amri hiyo imetolewa ikiwa ni njia moja wapo ya kuepukana na mikusanyiko katika kipindi hiki ambacho...
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Wafuasi wa Zitto, Chadema watwangana tena
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Polisi wazuia maandamano ya wafuasi wa Chadema
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Wafuasi Chadema, CCM wachapana makonde