Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulevi noma

konda1Konda huyo akiwa amelewa chakali.

Mashaka Kisusi, Mwanza
CHAPOMBE! Kondakta wa daladala moja la Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza amejikuta akiponzwa na ulevi baada ya bosi wake kuamua kumfukuza kazi mara moja, kufuatia kulewa akiwa kazini na kushindwa kufanya kazi, Risasi Jumamosi linaripoti.

Konda2Tukio hilo lilitokea mchana wa Jumatano iliyopita katika mnada wa Masasi wilayani Misungwi mkoani hapa, wakati kondakta huyo alipokuwa katika foleni ya kupakia abiria na kuamua kunywa pombe ya viroba...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ULEVI NI NOMA BINTI WA KIGOGO AFANYIWA MBAYA

Stori: Richard Bukos
ULEVI noma! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu kilichomtokea mtoto wa kigogo mmoja aishie Masaki ambaye alijikuta akifanyiwa kitu mbaya ndani ya maji kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Coco jijini Dar, Jumamosi iliyopita. Binti akijiachia na njemba huyo baada ya kupiga urabu wa kutosha. Kabla ya tukio hilo, inadaiwa kuwa dada huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, alikesha katika klabu...

 

10 years ago

GPL

FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!

Stori:  Waandishi Wetu Kama noma na iwe noma! Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, wikiendi iliyopita lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar na kugubikwa na matukio kibao nyuma ya pazia, likiwemo la msanii kutoka Nigeria, Davido ‘kupafomu’ pamoja na serikali kumkataza, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili.… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulevi wamtia mashakani Phelps

Muogeleaji bingwa wa Olimpiki nchini Marekani,Michael Phelps, amekamatwa kwa kundesha gari akiwa mlevi.

 

10 years ago

Habarileo

DC: Wazazi acheni ulevi na starehe

MKUU wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi , Ngemela Lubinga amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wilayani humo, kuendekeza ulevi na starehe huku wakikaidi kuwekeza katika maendeleo ya elimu ya watoto wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Ulevi wa Shisha washika kasi

Umeibuka ulevi mpya nchini ambao umethibitika kuwateka vijana hasa wa jiji la Dar es Salaam, huku kukiwa na taarifa za kitaalamu kwamba ulevi huo una athari za kiafya kwa watumiaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi 20 washtakiwa na ulevi Kenya

Wanafunzi 20 wa shule za upili nchini Kenya wamepelekwa mahakamani na kushtakiwa kwa kuwa walevi na wenye tabia mbaya.

 

9 years ago

Habarileo

Madereva kuelimishwa athari za ulevi

JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Mwanza limejipanga kushirikiana na wadau wengine kuelimisha madereva umuhimu wa kuepuka kuendesha magari wakiwa wamelewa. Hatua hiyo inalenga kuepusha ajali katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka za Krismasi na Mwaka mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani