Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC: Wazazi acheni ulevi na starehe

MKUU wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi , Ngemela Lubinga amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wilayani humo, kuendekeza ulevi na starehe huku wakikaidi kuwekeza katika maendeleo ya elimu ya watoto wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

9 years ago

GPL

MLELA AKIRI KUPONZWA NA STAREHE!

Brighton masalu YUSUF Mlela ‘Angelo’ amekiri kurudishwa nyuma kimaendeleo kutokana na kuendekeza sana starehe siku za nyuma, ikiwemo ulevi kupindukia na kubadili wanawake. Yusuf Mlela ‘Angelo’. Akizungumza kwa njia ya simu Jumanne ya wiki hii katika mazungumzo ya kawaida na mwandishi wetu, Mlela alisema kila wakati alikuwa akigombana na mama yake mzazi juu ya suala hilo na kuona kama anaonewa lakini kwa sasa amekua na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana watakiwa kutoendekeza starehe

VIJANA wameshauriwa kutokuendekeza starehe zisizo na maana kwao, bali wajikite kwenye mambo ya msingi na yenye faida katika maisha yao ya baadaye. Rai hiyo imetolewa na jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Muziki ni zaidi ya dansi na Starehe -3

Nimeajiriwa kufanya warsha za muziki, siku tatu mfululizo. Chumba nilichopo kimepambwa picha za rangi nzuri ili kuwapendeza na kuwatuliza watoto. Hawa ni walemavu wa aina mbalimbali. Wapo walio katika vigari vinavyosukumwa , baadhi hawawezi kupumua, wana mirija inayopitia chupa za hewa, wengine wameumia kiasi ambacho ubongo au mioyo yao inaendeshwa kwa betri maalumu.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara: Najuta Starehe Zimeniponza

STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni mlemavu.

Wastara

Wastara

Akipiga stori na paparazi wetu Wastara alisema, tangu alipopatwa na tatizo hilo la mguu kwenye fikra zake hakutaka kukubali matokeo, siku zote alipenda aishi kama alivyokuwa mzima ikiwa ni pamoja na kwenda kwenye muziki na kucheza.
“Siyo siri nilijisahau sana, sikupenda kujiona mlemavu,...

 

9 years ago

Global Publishers

Ulevi noma

konda1Konda huyo akiwa amelewa chakali.

Mashaka Kisusi, Mwanza
CHAPOMBE! Kondakta wa daladala moja la Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza amejikuta akiponzwa na ulevi baada ya bosi wake kuamua kumfukuza kazi mara moja, kufuatia kulewa akiwa kazini na kushindwa kufanya kazi, Risasi Jumamosi linaripoti.

Konda2Tukio hilo lilitokea mchana wa Jumatano iliyopita katika mnada wa Masasi wilayani Misungwi mkoani hapa, wakati kondakta huyo alipokuwa katika foleni ya kupakia abiria na kuamua kunywa pombe ya viroba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Amboni marufuku nyumba za starehe

MWENYEKITI wa Kamati ya Shule ya Msingi Amboni iliyopo nje kidogo ya Jiji la Tanga, Amiri Mlugu, amepiga marufuku wanafunzi wa shule hiyo kwenda katika majumba ya starehe ikiwemo vibanda...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Napenda kusaidia jamii kuliko starehe’

>Mwanamuziki maarufu nchini, Naseeb Abdul, ‘Diamond’, amesema anapenda kusaidia jamii kuliko kustarehe.

 

9 years ago

GPL

SETH BOSCO AJUTIA KUPONZWA NA STAREHE

Mdogo wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Seth Kamugisha Bosco. Stori: brighton masalu Mdogo wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Seth Kamugisha Bosco amekiri kujisahau na kuponzwa na starehe kwa kushindwa kufuata misingi na maagizo ya kaka yake na kwamba kwa sasa amerejea ‘mstarini’ kwa kufuata yote aliyohusiwa. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Seth alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani