Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana watakiwa kutoendekeza starehe

VIJANA wameshauriwa kutokuendekeza starehe zisizo na maana kwao, bali wajikite kwenye mambo ya msingi na yenye faida katika maisha yao ya baadaye. Rai hiyo imetolewa na jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana watakiwa kuchangamka

Vijana mkoani hapa wametakiwa kuzitumia fursa mbalimbali zinazopatikana ili kujiletea maendeleo kuliko kushinda vijiweni na kuilaumu Serikali kuwa haiwafanyii kitu.

 

11 years ago

Habarileo

Vijana watakiwa kubadili tabia

VIJANA wametaka kubadili tabia ili kupunguza kasi ya ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kupambana na Ukimwi (TACAIDS), Dk Fatma Mrisho alitoa rai hiyo wakati wa uzinduzi wa kituo cha utoaji wa huduma za upimaji wa afya kilichopo Michungwani mkoani Tanga.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana watakiwa kuachana na vijiwe

VIJANA nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kukaa vijiweni bila ya kujishughulisha na kazi yoyote, badala yake watumie fursa zilizopo za ujasirimali ili kujiajiri wao wenyewe na kupambana vilivyo na...

 

9 years ago

Mwananchi

Vijana watakiwa kuanzisha miradi

Vijana wilayani Muleba, mkoani Kagera wametakiwa kujenga tabia ya kuthubutu katika uwekezaji kwa kuanza na mitaji midogo wakitumia nguvu zao ili kuharakisha maendeleo na kujikwamua na umaskini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe watakiwa kuwatetea vijana

Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Dodoma Mjini, Viviani Komu amewataka vijana ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuonyesha uzalendo kwa kutetea masilahi kwa vijana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana watakiwa kuwania uongozi

NAIBU Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, Innocent Melleck, ametabiri kuwa mwaka ujao wa uchaguzi utakuwa ni wa vijana na...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraVIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani