Vijana watakiwa kubadili tabia
VIJANA wametaka kubadili tabia ili kupunguza kasi ya ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kupambana na Ukimwi (TACAIDS), Dk Fatma Mrisho alitoa rai hiyo wakati wa uzinduzi wa kituo cha utoaji wa huduma za upimaji wa afya kilichopo Michungwani mkoani Tanga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Tamasha Mbeya kubadili tabia za vijana bila shuruti
SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Mbeya (CPCT), wameamua kubadilisha tabia za vijana bila shuruti. Katika kubadilisha tabisa...
11 years ago
Bongo Movies30 Jun
SHEHE Amcharukia Jackline Wolper. Ni kutokana na tabia yake ya kubadili badili dini.
TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.
Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo.
Sababu ya Wolper kubadili dini ilikuwa ni kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake Abdallah Mtoro ‘Dalas’, walipoachana akaamua kurudi kwenye...
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Soka yatumia kubadili vijana gerezani
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-K9hO7wVjFwk/VcNL4ePXoVI/AAAAAAAHuko/ZynudJvddmA/s72-c/unnamed%2B%252849%2529.jpg)
Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j7UlM9JEi8w/VCAmhRW7StI/AAAAAAAGk_8/CJ1N5Vowkc8/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)
![](http://4.bp.blogspot.com/-j7UlM9JEi8w/VCAmhRW7StI/AAAAAAAGk_8/CJ1N5Vowkc8/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-JRAjNtc9ddI/VCAmgtfPoUI/AAAAAAAGk_4/djFywTB9NdU/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Vijana Tanzania walioamua kubadili mtizamo wa kazi ya uchuuzi wa mitaani
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EcPmiPVTFII/XtZqVIWSIjI/AAAAAAALsWc/i9zezqTSWtgZ1Y45RSCY_6ego4CXco34wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200601_153508_3.jpg)
Wananchi Watakiwa kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Na Woinde Shizza , ARUSHA
BARAZA la Taifa la hifadhi na usimamizi wa Mazingira Kanda ya kaskazini (NEMC) limewataka wananchi kutunza mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Meneja Meneja wa kanda ya kaskazini Lewis Nzali alisema uharibifu wa mazingira unachangia kwa kiasi kikubwa kupoteza kwa baadhi ya viumbe hai maarufu kama bionuai pamoja na hali ya jangwa na ukame.
Alisema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya...