Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soka yatumia kubadili vijana gerezani

Serikali ya Nigeria imeanzisha mpango wa kutumia kandanda kubadili mienendo na fikra ya wafuasi wa Boko Haram walioko gerezani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SOKA HADI GEREZANI

Na Albert G Sengo, Mwanza.DIWANI wa Kata ya Nyamagana Jimbo la Nyamagana, Bikhu Kotecha leo amekabidhi mipira 10 na Kombe dogo kwa wafungwa na askari wa Gereza Kuu la Butimba lililopo Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza.Hatua hiyo ya Diwani Kotecha (CCM) kukabidhi mipira kunafatia ombi la viongozi wa wafungwa na mahabusu kupitia uongozi wa Gereza la Butimba ili kuwasaidia kuburudika, kuimalisha afya zao kupitia michezo na kudumisha mahusiano baina ya mahabusu na wafungwa na kuendeleza vipaji...

 

11 years ago

Habarileo

Vijana watakiwa kubadili tabia

VIJANA wametaka kubadili tabia ili kupunguza kasi ya ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kupambana na Ukimwi (TACAIDS), Dk Fatma Mrisho alitoa rai hiyo wakati wa uzinduzi wa kituo cha utoaji wa huduma za upimaji wa afya kilichopo Michungwani mkoani Tanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha Mbeya kubadili tabia za vijana bila shuruti

SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Mbeya (CPCT), wameamua kubadilisha tabia za vijana bila shuruti. Katika kubadilisha tabisa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Vijana Tanzania walioamua kubadili mtizamo wa kazi ya uchuuzi wa mitaani

Ni Jambo la kawaida, unapokuwa unatembea mitaani katika nchi za Afrika kukutana na wachuuzi wa mtaani al maarufu wamachinga, kutokana na ukosefu wa ajira. Lakini Alexanda Manyika na Noah Jotum ni wamachinga wanaobadili mtizamo wa kawaida kuhusu wachuuzi hao

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Soka la vijana lapigwa ‘tafu’

Kampuni ya Symbion Power Tanzania itatumia Dola 3 milioni (Sh4.b bilioni) kwa ajili ya ujenzi wa vituo vyake viwili ya kuibua na kuendelea vipaji vya soka nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

JK alilia soka la vijana nchini

Rais Jakaya Kikwete amesema maendeleo ya soka yanasuasua nchini kutokana na matatizo ya uongozi na kuachwa kwa jukumu la kuendeleza soka la vijana kwa ajili ya kuvumbua vipaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani