SOKA HADI GEREZANI
Na Albert G Sengo, Mwanza.DIWANI wa Kata ya Nyamagana Jimbo la Nyamagana, Bikhu Kotecha leo amekabidhi mipira 10 na Kombe dogo kwa wafungwa na askari wa Gereza Kuu la Butimba lililopo Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza.Hatua hiyo ya Diwani Kotecha (CCM) kukabidhi mipira kunafatia ombi la viongozi wa wafungwa na mahabusu kupitia uongozi wa Gereza la Butimba ili kuwasaidia kuburudika, kuimalisha afya zao kupitia michezo na kudumisha mahusiano baina ya mahabusu na wafungwa na kuendeleza vipaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Soka yatumia kubadili vijana gerezani
10 years ago
GPL23 Mar
5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Coronavirus: Mechi za Ligi ya soka ya England kuahirishwa hadi tarehe 3 Aprili
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kama mchezo wa soka ndio mchezo unaoongoza kwa kupendwa duniani. Katika soka kuna list ya wachezaji ambao wanapendwa na mashabiki kutokana na vitu ambavyo wanafanya uwanjani. Imenifikia TOP 5 ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa kupendwa duniani. Lionel Messi ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ndio anatufungulia list […]
The post Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kuwa soka ndio mchezo unaopendwa na watu wengi duniani au unaweza kuita ndio mchezo maarufu sana duniani. Najua umezoea kusikia headlines za soka kila kukicha kuhusu mastaa wake kufanya hivi au vile na vitu vingine vingi. Ila kama ambavyo tumekuwa tukiona watu maarufu kutoka tasnia mbalimbali wakichukiwa basi nimekutana […]
The post Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka … appeared first on...
11 years ago
MichuziULIPO TUPO NA BENKI YA CRDB HADI HADI VIWANJA VYA SABASABA
Ofisa wa Benki ya CRDB...
10 years ago
Vijimambo
Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015

11 years ago
Michuzi
WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA


11 years ago
Michuzi19 Apr