Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ULIPO TUPO NA BENKI YA CRDB HADI HADI VIWANJA VYA SABASABA

Wateja wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kuweka fedha na kutoa katika Mobile Branch lililopo katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Ofisa wa Benki ya CRDB akiwahudumia wateja waliofika katika banda la Benki ya CRDB wakati wa Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
 Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Moses Wamala akimpiga picha mteja  aliyefungua akaunti ya Benki ya CRDB katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa.
 Ofisa wa Benki ya CRDB...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YARAHISISHA MAISHA VIWANJA VYA SABASABA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB inatoa huduma za kibenki katika maonyesho hayo ikiwa ni pamoja na kufungua akaunti kwa wateja wapya na kutoa huduma za kuweka na kutoa fedha katika tawi linalotembea iliyopo katika viwanja vya Sabasaba. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma (Na Mpiga Picha Wetu) 
  Mkurugenzi...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi sasa kujiachia na riba hadi asilimia 14 kutoka Benki ya CRDB

Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya "Jiachie Utakavyo" ambapo wafanyakazi wa taasisi za umma na binafsi wataanza kufurahia riba ya hadi asilimia 14 huku wakiwa na uhuru wakuchagua muda wa kurejesha mkopo. Wengine pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Stephen Adili (Wakwanza kushoto) na Meneja Mwanadamizi Mikopo ya Wafanyakazi, Farida Hamza

=====   =====   =====

Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAVUTIA WATU WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

BENKI ya CRDB imewataka Watanzania kutembelea banda lao ili kupata huduma mbalimbali za Fedha.
Akizungumza katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba, Ofisa wa benki hiyo, John Titus amesema kuwa banda lao linashughulika na kufungua akaunti na kumuhudumia mteja.


Aliongeza kuwa Benki ya CRDB pia imeweka Mobile  Branch ambayo hufanya kazi zote zinazofanywa na benki hiyo ikiwemo huduma za kuweka fedha na kutoa.


Titus alisema pia...

 

10 years ago

Vijimambo

Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015

Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Dokta Mwele ambaye hadi wakati anatangaza uamuzi huo ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), ana historia ya kipekee ambayo nilibahatika kuifahamu kupitia chapisho moja lililopo katika blogu hii. Hata hivyo, chapisho hilo ambalo lilisomwa na maelfu ya watu,...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA "AITIKISA" TENA DAR, KIBAMBA YATAPIKA PEOPLE'S WAMWAMBIA "ULIPO TUPO"

Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda UKAWA, Mh. Edward Lowassa, leo tena amelitikisa jiji la Dar es Salaam, hususan maeneo ya Kibamba kulikofanyika mkutano wa kihistoria wa kampeni ambapo maefu ya wananchi walifurika wengine wakikaa juu ya mapaa ya nyumba za madarasa, wengine kwenye miti, kutokana na kukosa eneo zuri la kuweza kushuhudia "live" mkutanonukiendelea. Changamoto ya maeneo ya kufanyia mikutano ya kampeni ndiyo inayoonekana kuikumba...

 

11 years ago

Michuzi

ANKAL NA WADAU VIWANJA VYA SABASABA

Ankal kila pozi na wadau Njovu wa TRA (kati) na George Colyvas wa kampuni ya Property International kwenye viwanja vya maonesho ya kimataifa ya biashara barabara ya Kilwa Road jijini Dar es salaam. Ankal amefarijika mno kukuta kila kona kuna wadau wa Globu ya Jamii ambao walimlaki kwa furaha kila banda.

 

11 years ago

Mwananchi

Ulinzi waimarishwa Viwanja vya Sabasaba

Ulinzi katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), yanayofanyika katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere umeimarishwa na kazi ya kufunga kamera za ulinzi imekamilika.

 

11 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI AGOMBEWA NA WASOMAJI VIWANJA VYA SABASABA

Mr. Championi akiwa na msomaji wa Gazeti la Championi katika picha ya pamoja. Mr. Championi akirandaranda ndani ya Viwanja vya Sabasaba kuwasaka wasomaji wa Gazeti la Championi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani