LOWASSA "AITIKISA" TENA DAR, KIBAMBA YATAPIKA PEOPLE'S WAMWAMBIA "ULIPO TUPO"
![](http://1.bp.blogspot.com/-QTCsqUg4u0w/Ve3RqJ96FiI/AAAAAAAAY9o/dyIrD-gGWzM/s72-c/OTH_8093.jpg)
Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda UKAWA, Mh. Edward Lowassa, leo tena amelitikisa jiji la Dar es Salaam, hususan maeneo ya Kibamba kulikofanyika mkutano wa kihistoria wa kampeni ambapo maefu ya wananchi walifurika wengine wakikaa juu ya mapaa ya nyumba za madarasa, wengine kwenye miti, kutokana na kukosa eneo zuri la kuweza kushuhudia "live" mkutanonukiendelea. Changamoto ya maeneo ya kufanyia mikutano ya kampeni ndiyo inayoonekana kuikumba...
Vijimambo