ANKAL NA WADAU VIWANJA VYA SABASABA
![](http://2.bp.blogspot.com/-luPix4kgWss/U7RUzSfGXdI/AAAAAAAFucs/Vw70iq87R1c/s72-c/PlQgI3iPvlGry0FK3kkUbus2KaxCM3kYKJqEcz2u_vI.jpg)
Ankal kila pozi na wadau Njovu wa TRA (kati) na George Colyvas wa kampuni ya Property International kwenye viwanja vya maonesho ya kimataifa ya biashara barabara ya Kilwa Road jijini Dar es salaam. Ankal amefarijika mno kukuta kila kona kuna wadau wa Globu ya Jamii ambao walimlaki kwa furaha kila banda.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Ulinzi waimarishwa Viwanja vya Sabasaba
11 years ago
GPLMR. CHAMPIONI AGOMBEWA NA WASOMAJI VIWANJA VYA SABASABA
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YARAHISISHA MAISHA VIWANJA VYA SABASABA
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Ni kweli viwanja vya maonyesho Sabasaba vimepitwa na wakati
MAONYESHO ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yaliyoanza Juni 28 mwaka huu kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Sabasaba, yalihitimishwa jana. Wafanyabiashara kutoka...
10 years ago
GPLWAFANYABIASHA WAANZA KUSEPA VIWANJA VYA SABASABA DAR
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Banda la Tigo lafurika viwanja vya maonyesho ya Kimataifa Sabasaba
Afisa wa mauzo wa Tigo Bi Annia Ernest akitoa huduma kwa mteja wake aliyefika kwenye banda la Tigo.
Watoto wakifurahia kucheza pamoja kwenye michezo mbalimbali iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo kwenye maonyesho ya sabasaba.
Wateja waliofurika kwenye banda la Kampuni ya simu za mkononi Tigo wakati wa maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba jana jijini Dar es Salaam.
Afisa wa mauzo wa Tigo akiwahudumia wateja waliofika kupata huduma kwenye maonyesho ya sabasaba.
Wasanii wa kikundi...
11 years ago
Michuzi06 Jul
UZINDUZI WA MASHINE ZA ATM ZA SELCOM WAFANA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA
10 years ago
GPLTASWIRA ILIVYOKUWA LEO KATIKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi17 Dec
MAONESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM