Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe watakiwa kuwatetea vijana

Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Dodoma Mjini, Viviani Komu amewataka vijana ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuonyesha uzalendo kwa kutetea masilahi kwa vijana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe watakiwa kutopotosha wananchi

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kutowapotosha Watanzania kuhusiana na muundo wa serikali tatu na badala yake wawaambie ukweli. Kauli hiyo ilitolewa bungeni  juzi na mjumbe wa Bunge hilo,...

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe bunge maalumu watakiwa kuacha ubinafsi, uchoyo

Mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale MwiruKUTOKANA na kuongezeka mivutano na mpasuko miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imeshauriwa njia pekee ya kunusuru mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya ni wajumbe kuacha ubinafsi, uchoyo na misimamo ya kisiasa badala yake wajenge maridhiano.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili watano wajitosa kuwatetea watuhumiwa ugaidi

 Watuhumiwa 22 wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi, wakiwamo viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki) Zanzibar, wamepata mawakili watano wa kuwatetea dhidi ya mashtaka manne yanayowakabili.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa watakiwa kujenga utamaduni wa kutekeleza wajibu wao kw kujitolea zaidi

PIX1aa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. Wajumbe waliohudhuria hafla hizo ni pamoja na ,Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu, Zacharia Hans Pope, Jamal Rwambow, Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri wajumbe Bunge la Katiba kupigania vijana

WAJUMBE watakaopata nafasi ya kuingia katika Bunge la Katiba, wameshauriwa kuhakikisha wanapigania masuala ya vijana . Mwenyekiti wa Taasisi ya Vijana nchini (TYVA), Elly Ahimidiwe alidai katika rasimu ya Katiba mpya, kijana hajafafanuliwa kwa mapana zaidi, hali inayoonesha kundi hilo limetengwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana watakiwa kuchangamka

Vijana mkoani hapa wametakiwa kuzitumia fursa mbalimbali zinazopatikana ili kujiletea maendeleo kuliko kushinda vijiweni na kuilaumu Serikali kuwa haiwafanyii kitu.

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa watakiwa kujenga utamaduni wa kutekeleza wajibu wao kwa kujitolea zaidi

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. Wajumbe waliohudhuria hafla hizo ni pamoja na ,Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu, Zacharia Hans Pope, Jamal Rwambow, Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani