Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa watakiwa kujenga utamaduni wa kutekeleza wajibu wao kw kujitolea zaidi

PIX1aa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. Wajumbe waliohudhuria hafla hizo ni pamoja na ,Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu, Zacharia Hans Pope, Jamal Rwambow, Mkurugenzi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa watakiwa kujenga utamaduni wa kutekeleza wajibu wao kwa kujitolea zaidi

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. Wajumbe waliohudhuria hafla hizo ni pamoja na ,Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu, Zacharia Hans Pope, Jamal Rwambow, Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wawakumbusha wajumbe wajibu wao

BAADHI ya wananchi wa Dodoma wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kujadili mambo ya msingi na si kutumia muda mwingi kuonyeshana ujasiri wa kutetea vyama vyao. Mbali na hilo...

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU WAHIMIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA UFANISI


Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akihutubia watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika Machi 8, 2020 Jijini Arusha.
Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanayakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) wakisikiliza hotuba ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO KWA KUJITOLEA NA KUTAKA KUAJIRIWA NA SERIKALI

Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru.
Baadhi ya sababu za kuanzishwa kwa JKT ni:
Kubadili fikra za vijana wa nchi hii kutoka ile hali ya ukoloni kutegemea nchi nyingine kuleta maendeleo.
Kukusanya nguvu za vijana wote wa nchi hii na kuzielekeza kwa umoja wao kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waajiriwa wapya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo watakiwa kuwa waadilifu

1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea kwa msisitizo kuhusu maadili ya Utumishi wa Umma wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.

2

Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Barnabas Ndunguru akifafanua jambo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kusomesha zaidi watoto wao

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Abdallah Ulega, amewataka wazazi na walezi wilayani humo kutumia rasilimali zao, ili kuwasomesha watoto.

 

9 years ago

Mwananchi

MTAZAMO: Baraza la Michezo la Taifa liondolewe haraka

Kusimamia michezo ni gharama kubwa hata Serikali za nchi zilizoendelea hazisimamii michezo moja kwa moja kwa sababu ya kuelewa suala la gharama.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni

pinda

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.

pinda 2

Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani