Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe bunge maalumu watakiwa kuacha ubinafsi, uchoyo

Mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale MwiruKUTOKANA na kuongezeka mivutano na mpasuko miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imeshauriwa njia pekee ya kunusuru mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya ni wajumbe kuacha ubinafsi, uchoyo na misimamo ya kisiasa badala yake wajenge maridhiano.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi

Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.

Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...

 

11 years ago

Mwananchi

Bima nchini watakiwa kuacha ubinafsi

 Kampuni za bima nchini zimeaswa kuacha ubinafsi kama njia itakayoziwezesha kuongeza mitaji na hatimaye kufanya biashara kimataifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikunge awafunda wajumbe #Bunge la #Katiba, ashauri ubinafsi uwekwe kando [VIDEO]

Wakati Bunge Maalum la Katiba likijiandaa kuanza kazi rasmi wiki ijayo, baadhi ya wajumbe wameasa siasa za umimi na chuki binafsi ziwekwe kando.

 

10 years ago

Mwananchi

Matapeli wawazengea wajumbe Bunge Maalumu

Watu wanaodhaniwa kuwa matapeli wamevamia mji wa Dodoma, wakionekana kuwalenga wajumbe wa Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA

 MBUNGE WA MTERA,LIVINGSTONE  LUSINDE NA MBUNGE WA MOSHI MJINI MHE PHILEMON NDESAMBURO AMBAO PIA NI WABUNGE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAKIAGANA MARA BAADA YA KUAHIRISHWA KWA SEMINA YA KUANDAA KANUNI ZITAKAZO TUMIWA WAKATI WA KIKAO CHA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA. MWENYEKITI WA CHAMA CHA UDP MHE. JOHN MOMOSE CHEYO NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA NCCR;MAGEUZI MHE. JAMES MBATIA AMBAO PIA NI WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAKIJADILIANA WAKATI WAKITOKA KATIKA SEMINA YA KUJADILI...

 

10 years ago

Vijimambo

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Watishiwa Maisha

Siku tatu kabla ya Bunge la Katiba kuanza kupigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, watu wasiojulikana wameanza kusambaza vitisho vya kuwatia hofu wajumbe wa Bunge hilo.Watu hao wamesambaza vipeperushi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma usiku wa kuamkia jana, wakiwataka wajumbe kutoingia bungeni vinginevyo yatakayowapata watajuta, huku wajumbe kutoka Zanzibar wakitishiwa kwa ujumbe wa simu kupitia mtandao wa WhatsApp.
Kunani Jamani Tanzania Tunaelekea Wapi?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe Bunge Maalumu la Katiba changanyeni akili

WAPO wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioambiwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wasigombee ubunge kwa tiketi ya chama hicho cha upinzani bali wajiunge na CCM...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe Bunge Maalumu la Katiba na mawazo mgando

NI ukweli usiopingika kuwa Bunge Maalumu la Katiba limetawaliwa na wajumbe walio wengi mamluki, ambao wamevaa makoti ya CCM. Hakika sina shaka mamluki hao wamekuwa wakisimamia misimamo ya chama chao...

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda wakijumuika pamoja katika kulisakata rumba kwenye tafrija ya kukaribishwa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.   Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mke wa Mbunge wa Mpendae Mama Tamima Turky wakionyesha manjonjo yao katika mduara wa tafrija ya kuwakaribisha wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wa CCM.  Raha iliyoje kwa Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda Kushoto, Mke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani