Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe Bunge Maalumu la Katiba na mawazo mgando

NI ukweli usiopingika kuwa Bunge Maalumu la Katiba limetawaliwa na wajumbe walio wengi mamluki, ambao wamevaa makoti ya CCM. Hakika sina shaka mamluki hao wamekuwa wakisimamia misimamo ya chama chao...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BUNGE LA KATIBA: WAZIRI MKUU ABADILISHANA MAWAZO NA WAJUMBE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Bunge Maalum la Katiba nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, Februari 25, 2014. Kutoka kushoto ni Abdallh Sharia Ameir, Riziki Said Lulida na Jerome Dismas Bwausi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA

 MBUNGE WA MTERA,LIVINGSTONE  LUSINDE NA MBUNGE WA MOSHI MJINI MHE PHILEMON NDESAMBURO AMBAO PIA NI WABUNGE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAKIAGANA MARA BAADA YA KUAHIRISHWA KWA SEMINA YA KUANDAA KANUNI ZITAKAZO TUMIWA WAKATI WA KIKAO CHA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA. MWENYEKITI WA CHAMA CHA UDP MHE. JOHN MOMOSE CHEYO NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA NCCR;MAGEUZI MHE. JAMES MBATIA AMBAO PIA NI WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAKIJADILIANA WAKATI WAKITOKA KATIKA SEMINA YA KUJADILI...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe Bunge Maalumu la Katiba changanyeni akili

WAPO wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioambiwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wasigombee ubunge kwa tiketi ya chama hicho cha upinzani bali wajiunge na CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Watishiwa Maisha

Siku tatu kabla ya Bunge la Katiba kuanza kupigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, watu wasiojulikana wameanza kusambaza vitisho vya kuwatia hofu wajumbe wa Bunge hilo.Watu hao wamesambaza vipeperushi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma usiku wa kuamkia jana, wakiwataka wajumbe kutoingia bungeni vinginevyo yatakayowapata watajuta, huku wajumbe kutoka Zanzibar wakitishiwa kwa ujumbe wa simu kupitia mtandao wa WhatsApp.
Kunani Jamani Tanzania Tunaelekea Wapi?

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda wakijumuika pamoja katika kulisakata rumba kwenye tafrija ya kukaribishwa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.   Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mke wa Mbunge wa Mpendae Mama Tamima Turky wakionyesha manjonjo yao katika mduara wa tafrija ya kuwakaribisha wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wa CCM.  Raha iliyoje kwa Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda Kushoto, Mke...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: Majina ya wajumbe wa Bunge maalumu la katiba yatangazwa leo

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba   jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jioni hii jijini Dar es salaam. Wanahabari wakimsikiliza  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe.  Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba  yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano...

 

11 years ago

Michuzi

pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na  Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Vijimambo

MFUMO DUME NA MAWAZO MGANDO: KIKWAZO USHIRIKI WA MWANAMKE KATIKA UONGOZI

20140924_085545Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio, Nuru Kalufya akisimamia usajili wa washiriki wa mafunzo ya Maadili, Jinsia na Kuandika Habari za Migogoro yaliyoanza katika kijiji cha Uvinza, wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma tarehe 24 Septemba hadi 01 Oktoba 2014.20140924_085927Mshauri na Mkufunzi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi. Rose Haji Mwalimu akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio Bi. Nuru Kalufya wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Maadili, Jinsia na Kuandika...

 

10 years ago

Mwananchi

Matapeli wawazengea wajumbe Bunge Maalumu

Watu wanaodhaniwa kuwa matapeli wamevamia mji wa Dodoma, wakionekana kuwalenga wajumbe wa Bunge la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani