Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SETH BOSCO AJUTIA KUPONZWA NA STAREHE

Mdogo wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Seth Kamugisha Bosco. Stori: brighton masalu Mdogo wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Seth Kamugisha Bosco amekiri kujisahau na kuponzwa na starehe kwa kushindwa kufuata misingi na maagizo ya kaka yake na kwamba kwa sasa amerejea ‘mstarini’ kwa kufuata yote aliyohusiwa. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Seth alisema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MLELA AKIRI KUPONZWA NA STAREHE!

Brighton masalu YUSUF Mlela ‘Angelo’ amekiri kurudishwa nyuma kimaendeleo kutokana na kuendekeza sana starehe siku za nyuma, ikiwemo ulevi kupindukia na kubadili wanawake. Yusuf Mlela ‘Angelo’. Akizungumza kwa njia ya simu Jumanne ya wiki hii katika mazungumzo ya kawaida na mwandishi wetu, Mlela alisema kila wakati alikuwa akigombana na mama yake mzazi juu ya suala hilo na kuona kama anaonewa lakini kwa sasa amekua na...

 

9 years ago

GPL

TAIYA ADAI KUPONZWA NA FILAMU ZA USALITI

Msanii wa filamu na muziki anayekuja kwa kasi, Taiya Odero. IMELDA MTEMA MSANII wa filamu na muziki anayekuja kwa kasi, Taiya Odero amedai kuponzwa na filamu za usaliti anazocheza kwa kuwa wanaume wengi wanamuogopa kumtongoza wakimuhofia kuwasaliti katika mapenzi. Akizungumza na Amani, Taiya alisema kuwa anapokuwa katika uhusiano na mtu huwa inampa wakati mgumu sana kwa kuwa mtu huyo anakuwa na hofu ya kusalitiwa kila mara....

 

9 years ago

Dewji Blog

Tundu Lissu amshukia Dk.Slaa kwa madai ya kuponzwa na mkewe

DSC01778

Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu,akizungumza kwenye mkutano wa kampeni ya Ukawa mkoa wa Singida uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini hapa.Pamoja na mambo mengine,Tundu amewaomba wakazi wa Singida, kumpa kura ya ndiyo mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Ngoyai Lowassa, wabunge na madiwani wa Ukawa,ili kuigaragaza CCM kwa madai imechoka na umechuja mbele ya macho ya Watanzania.

DSC01807

DSC01826

Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia ukawa,...

 

11 years ago

GPL

SETH: KANUMBA ANANITOKEA

Joseph Shaluwa na Erick Evarist
SETH Bosco aliye mdogo wa marehemu Steven Kanumba, aliyekuwa staa wa filamu za Kibongo, ameibuka na kueleza mambo ya kushangaza, akidai kaka yake huyo amekuwa akimtokea ndotoni. Marehemu Steven Kanumba. Seth ndiye msimamizi na mwendeshaji wa Kampuni ya Kanumba The Great Film baada ya kifo cha Kanumba kilichotokea Aprili 07,2012 nyumbani kwake, Sinza – Vatican, jijini Dar es Salaam....

 

11 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AMCHIMBA MKWARA SETH

Stori: Hamida Hassan
MAMA wa Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemchimba mkwara mzito mdogo wa marehemu, Seth Bosco baada ya kuona amefanya kosa na kuamua kumtishia kuwa atamfuta kwenye Kampuni ya Kanumba The Great. Mama wa Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa Mama huyo pasipo kuweka wazi moja kwa moja tatizo, alisema kuwa kuna kosa kubwa Seth alilifanya na alishindwa kulivumilia hivyo kumuonya kuwa atamuondoa kwenye...

 

11 years ago

GPL

SETH ATINGA KANISANI NA GITAA LA KANUMBA

Na Gladness Mallya MSANII wa filamu ambaye ni mdogo wa Kanumba, Seth Bosco hivi karibuni alitinga kanisani akiwa amebeba gitaa alilokuwa akilitumia Steven Kanumba enzi za uhai wake. Msanii wa filamu ambaye ni mdogo wake marehemu Kanumba, Seth Bosco akiwa na gitaa la Kanumba. Seth alitinga na gitaa hilo katika Kanisa la KKKT, Kimara-Temboni kulikokuwa na ibada ya kumbukumbu ya Kanumba ambapo alionekana akiwa amelishikilia na...

 

11 years ago

GPL

SETH APOTEZA DIRA KIFO CHA KANUMBA

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu ambaye ni mdogo wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefunguka kuwa marehemu kaka yake huyo amemchanganya kimaisha kwani kila kukicha hajui atafanya nini kwa siku nzima. Seth Bosco. Seth alisema, tangu Kanumba afariki akiamka asubuhi hajui anafanya nini kwa siku nzima tofauti na alivyokuwa hai walikuwa wakipanga ratiba ya siku hata kama wamerudi nyumbani usiku wa manane lazima wapange...

 

9 years ago

Habarileo

Wamuenzi Seth Benjamini wa Azimio la Arusha kwa usafi

KIKUNDI cha hamasa cha kuwaenzi viongozi na waasisi wa Taifa cha Loliondo Group, mkoani Arusha, kimemuenzi shujaa Seth Benjamini aliyefariki dunia akitembea kwa miguu kuunga mkono Azimio la Arusha, kwa kufanya usafi wa mazingira ulioambatana na kusafisha kaburi la shujaa huyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Meneja wa Bournemouth ajutia maamuzi

Meneja wa Bournemouth,Eddie Howe amesema maamuzi yaliyofanywa kinyume na matarajio ya wengi dhidi ya Liverpool hayasameheki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani