Meneja wa Bournemouth ajutia maamuzi
Meneja wa Bournemouth,Eddie Howe amesema maamuzi yaliyofanywa kinyume na matarajio ya wengi dhidi ya Liverpool hayasameheki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Wenger ajutia nafasi ya nne
Kocha wa Arsenal anajutia kuvurunda kwa timu yake hata ikairuhusu Everton kuipiku
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E6-J*b1OZQMpKfJhz2Dmx3x23PhLAed0o5uBCzW74z1*1Ng7FWzv-9AN0-Ta8HP3xXdAWMIiN7rZSZDiY40bBG-qaV6UaIe7/CHENI.jpg)
MSANII AJUTIA PENZI LA DK.CHENI
Stori: Ma yasa Mariwata
MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ pale alipotangaza nia ya kutaka kumposa na kujiona bado mdogo. Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akipiga stori na paparazi wetu, Bozi alisema kuwa, miaka mingi iliyopita, akiwa ametoka kuchezwa unyago, mkongwe huyo...
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Refa wa Chelsea vs Arsenal ajutia kadi
Refa wa Chelsea vs Arsenal ajutia kadi nyekundu ,huenda akawekwa kando baada ya kufanya maamuzi kimakosa
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6jEk69OYDwqWAirmtwwWJKDJ8v20lzeSk6xkdlVIAPbj8n7gWY6exy2htXFsCTOZnLkszB8fBzm*zIWmHCnaVhu/13080318.jpg?width=650)
SETH BOSCO AJUTIA KUPONZWA NA STAREHE
Mdogo wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Seth Kamugisha Bosco. Stori: brighton masalu Mdogo wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Seth Kamugisha Bosco amekiri kujisahau na kuponzwa na starehe kwa kushindwa kufuata misingi na maagizo ya kaka yake na kwamba kwa sasa amerejea ‘mstarini’ kwa kufuata yote aliyohusiwa. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Seth alisema...
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
''Ozil ajutia kukosa penalti'' Wenger
Kocha Arsene Wenger asema Ozil anajutia kukosa penalti dhidi ya Bayern Munich .
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Al Sisi ajutia kuhumu dhidi ya wandishi
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amesema kuwa anajutia uamuzi wa mahakama kuwafunga jela wandishi 3 wa Al Jazeera.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5AohXeCm1YYio0FYwIkGUmHxxacD6ZMgp7ncQVx-ade6kP5Hm0Rmtpslp0SNpZpBLchmWZjcFDcE2vfCAj801Y7/WEMA1.png?width=650)
WEMA SEPETU AJUTIA MIMBA YA KANUMBA
Mwanadada asiyeishiwa habari, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Stori: Mwandishi Wetu/Risasi
MWANADADA asiyeishiwa habari, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kujutia mimba yake aliyopachikwa na aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ wakati wa mapenzi yao. Chanzo makini kilicho karibu na Wema kilieleza kwamba,...
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Jack Wilshere ajutia uvutaji sigara.
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere ajutia kitendo cha uvutaji sigara.
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Pistorius ajutia kifo cha mpenzi wake
Mwaka 1 baada ya Oscar Pistorius kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp, amezungumzia majuto na masikiti yake kuhusu kifo cha Steenkamp
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania