Jack Wilshere ajutia uvutaji sigara.
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere ajutia kitendo cha uvutaji sigara.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Uvutaji sigara waharamishwa Lagos
Wabunge mjini Lagos, wamepitisha sheria inayoharamisha uvutaji sigara katika maeneo ya umma, ikiwemo mikahawani na katika maeneo ya usafiri wa umma.
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Uvutaji sigara unawaathiri watoto
Marufuku ya uvutaji sigara katika maeneo ya umma imepunguza idadi ya wanawake wanaojifungua mapema
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Marufuku uvutaji sigara China
Serikali ya China imepiga marufuku uvutaji wa sigara katika mji mkuu Beijing
11 years ago
KwanzaJamii01 Jun
Zijue athari za uvutaji sigara
Miongoni mwa athari za tumbaku ni saratani ya koo na mapafu, kuziba kwa mishipa midogo ya damu, kupungua nguvu za kiume, kuwa na ukurutu, saratani ya kizazi, mimba kuharibika, vidonda vya tumbo na matatizo ya kusikia.
Athari nyingine ni vidole, meno na mdomo kubadilika rangi, ngozi kukunjamana, matatizo ya mapafu, mifupa na moyo.
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa karibu watu milioni sita hufa duniani kila mwaka kutokana na athari za matumizi ya tumbaku.
Kati ya...
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Uvutaji sigara wa mumewe wampa mabilioni
Kampuni ya utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mjane mmoja.
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Jack Wilshere mapema zaidi
Arsene Wenger amesema kiungo Jack Wilshere anatarajiwa kurejea tena dimbani wiki mbili zijazo baada ya kuumia kifundo cha mguu.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Wenger:Jack Wilshere si mvutaji
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amemtetea kiungo Jack Wilshere,kuwa mchezaji huyo si ‘’mvutaji wa sigara’’
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
Jack Wilshere hatoshuka dimbani
Alijeruhiwa wakati wa mchuano wa kirafiki wa kimataifa kati ya England na Denmark.
11 years ago
Mwananchi30 May
Serikali ipige marufuku uvutaji sigara hadharani
Kesho ni siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani. Hii ni kutokana na athari zake za kiafya kwa wanaotumia na hata wale walio karibu na watumiaji.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania