Serikali ipige marufuku uvutaji sigara hadharani
Kesho ni siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani. Hii ni kutokana na athari zake za kiafya kwa wanaotumia na hata wale walio karibu na watumiaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Marufuku uvutaji sigara China
10 years ago
StarTV03 Jun
China yapiga marufuku uvutaji wa sigara maeneo ya wazi.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/29/141129034416_smoking_640x360_getty_nocredit.jpg)
Watakaokiuka sheria ya uvutaji sigara mjini Beijing kupigwa faini
Serikali ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing.
Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.
Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka.
Ripoti inasema...
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Marufuku kuvuta sigara hadharani
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Uvutaji sigara waharamishwa Lagos
11 years ago
KwanzaJamii01 Jun
Zijue athari za uvutaji sigara
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Uvutaji sigara unawaathiri watoto
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Uvutaji sigara wa mumewe wampa mabilioni
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Jack Wilshere ajutia uvutaji sigara.
10 years ago
Vijimambo15 Jul
NesiWangu: JE UVUTAJI WA SIGARA NI SAWA NA UNYWAJI SUMU TARAT...
NesiWangu: JE UVUTAJI WA SIGARA NI SAWA NA UNYWAJI SUMU TARAT...: NINI TOFAUTI KATI YA MAPAFU YA MVUTA SIGARA NA ASIE MVUTA SIGARA Uvutaji wa sigara na ma...