Marufuku kuvuta sigara hadharani
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesisitiaza tamko la kupiga marufuku uvutaji wa sigara katika maeneo ya umma ili kuilinda jamii kutokana na madhara yatokanayo na moshi wa sigara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 May
Serikali ipige marufuku uvutaji sigara hadharani
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Madhara ya kuvuta sigara
KAMA unavuta sigara acha kuvuta, kama hujaanza usianze. Kwanini uache na kwanini usianze? Ni kwa kuwa tafiti nyingi zimeonesha kuwa ukivuta sigara unajipunguzia miaka ya kuishi. Makala ya wiki iliyopita...
5 years ago
BBCSwahili27 May
'Baba alinifunza kunywa pombe na kuvuta sigara'
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Atupwa mahabusi kwa kuvuta sigara eneo la mahakama
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Marufuku uvutaji sigara China
10 years ago
StarTV03 Jun
China yapiga marufuku uvutaji wa sigara maeneo ya wazi.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/29/141129034416_smoking_640x360_getty_nocredit.jpg)
Watakaokiuka sheria ya uvutaji sigara mjini Beijing kupigwa faini
Serikali ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing.
Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.
Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka.
Ripoti inasema...
5 years ago
BBCSwahili26 May
Wavutaji sigara Afrika Kusini wahangaika kufwatia marufuku.
10 years ago
Vijimambo16 Jun
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Upigaji busu hadharani wapigwa marufuku