Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upigaji busu hadharani wapigwa marufuku

Kijiji kimoja nchini India kilichopo katika jimbo la kusini magharibi kimepiga marufuku upigaji busu wa hadharani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini ni marufuku kupeana mikono na busu?

Nchi kadhaa duniani zimepiga marufuku kupeana salamu kwa njia ya kushikana mikono hata kuvunja tamaduni walizojiwekea miaka mingi.

 

10 years ago

Bongo5

Ni marufuku kwa wanafunzi kupigana busu kwenye chuo kikuu cha Zimbabwe

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho. Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba watachukuliwa hatua za kinidhamu. “Katika umri huu kusema siruhusiwi kumbusu au kumkumbatia mtu.. haiingii akilini,” mwakilishi wa wanafunzi wa chuo hicho, Tsitsi Mazikana aliiambia BBC.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UPIGAJI RAMLI CHONGANISHI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel (Kushotoa) akiwa na Mwenyekiti wa wahitimu hao Dk. John Lupimo wakati wa hafla ya wahitimu wa mafunzo ya uboreshaji wa utoaji huduma za tiba asili iliyofanyika Jijini Dodoma, jana.

DODOMA, Tanzania
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia wananchi jambo ambalo ni kinyume...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku

Mashabiki wanne wa kilabu ya Chelsea walioshtumiwa kwa kukataa kumrusu mtu mmoja mweusi kuingia katika treni ya Paris Metro wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi mechi za soka kwa takriban miaka mitano.

 

10 years ago

CloudsFM

Wapiga ramli wapigwa marufuku

SERIKALI imewapiga marufuku wapiga ramli wote nchini kwani wanavunja sheria kwa kuwadanganya wananchi wapeleke viungo vya albino ili kupata utajiri na uongozi.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.

Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanamitindo wembamba wapigwa marufuku

Bunge la Ufaransa limeidhinisha sheria inayopiga marufuku tabia ya makampuni ya wanamitindo nchini humo kutumia wasichana wembamba

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wakenya wapigwa marufuku

Wanariadha wawili wa Kenya Viola Chelangat Kimetto na Joyce Jemutai Kiplimo, wamepataikana na hatia ya kutumia dawa za kusisimua misuli na kupigwa marufuku kwa miaka 2

 

10 years ago

Habarileo

Uvuvi wa kasa wapigwa marufuku

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdilahi Jihadi HassanSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ni marufuku kwa wavuvi kuvua samaki aina ya kasa katika eneo la bahari ya Zanzibar ambapo viumbe hao wapo katika hatari ya kutoweka duniani.

 

10 years ago

Michuzi

shughuli zote za upigaji wa disko katika eneo la Kiwengwa zanzibar marufuku

Na Ali Issa Maelezo-Zanzibar. Waziri wa Habari,Utamaduni , Utalii na Michezo Saidi Ali Mbaruok amepiga marufuku shughuli zote za upigaji wa disko katika eneo la Kiwengwa mpaka pale Serikali ya wilaya itapotoa maelekezo maalumu ya upigaji wa disko hilo kwa utaratibu unaofaa.  Agizo hilo amelitoa huko Kiwengwa Mkoa wa kaskazini “A”wilaya ya kaskazini B Unguja katika Ofisi ya umoja wa maendeleo wa kijiji cha kiwengwa wakati alipokuwa akifanya mazungumzo na wamiliki wa mabaa mikahawa,na kumbi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani